Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,668
- 7,046
Mkuu Ile trick Hadi kesho sijaijua ila walikua wananitoa manyoya Yale ya kuku mdomoni wakaniambia Kwa usalama wako vua kila kitu usije uka anza kuumwa kama bibi yako!Wamekutoa manyoya yaani ukimaanisha....Mzee alishajua wa Mjini hao