Ila kuna wanawake wamekubuhu

Nilisahau hii:
Asee yule demu hakuwaga na huruma, maana baada muda mredu yule dereva alibadilishiwa route, akawa anapiga ya Dodoma sijui to Arusha, bc kwakuwa anajua demu ni wake akawa bdo anaendelea nae ila ikawa ni fimbo ya mbali sasa, kuna nyakati demu akawaga anaenda kule n.k.
Asa kuna kipindi akamtengenezea dereva kipengele kuwa anajihisi ana mimba, jamaa yaonekana alifurahia sana, akamtumia manzi hela akapime ila demu akamwambia kuwa yeye sio mara ya kwanza kubeba mimba, hvyo anajua dalili zake akishika mimba, hvyo jamaa akaanza rasmi kuhudumia, kuna muda demu analalamika anajisikia kula chipsi yao plus kuku lakn hana hela, dereva anatuma, demu alikuwa ana shoga ake chumba kingne mule wakawa wanasomeshana mipango maana ikitumwa hela yule shoga ake naye anaponea humo, dahh.
Ikaendaaa ikakata km miezi 3 hv demu akawa anajadiliana na mwenzake "sasa nishadanganya nina mimba na sina, hapa itabid nijidai naumwa sn tumbo halafu siku ya pili yake wewe ndo utampigia simu umwambie kuwa mama fulani jana kaziowa tukamleta hospital hajitambui hata hapa bdo hatujaruhusiwa alipimwa kumbe alikuwa na mimba imeharibika" basi ikafika siku wakafanikisha jambo lao jamaa kule akaambiwa bill wanayodaiwa akaituma ila analalamika sana kwa kumpoteza mwanae.

Ila nliona yule mwamba alikuwa na uboya flan nkaonaga ni sawa tuu anavyonyooshwa.
 
🀣🀣
 
Ila na wewe ulikua kambea kaka, kwahiyo hizo movements zote ulikua unazifiatilia? Like amedanganya ako mimba, pesa ya chips and wereva werevaπŸ˜…πŸ˜….
 
Ila na wewe ulikua kambea kaka, kwahiyo hizo movements zote ulikua unazifiatilia? Like amedanganya ako mimba, pesa ya chips and wereva werevaπŸ˜…πŸ˜….
Mkuu sio kwamba nlkuwa napenda kuwasikia ila nlikuwa nalazimishwa maana mipango yao wanapanga na wanaongea kwa sauti na siunajua tena juu hakujazibwa na tunatenganishwa na ukuta tuu juu kupo wazi, so ilkuwa lazima na bahat mbaya mipango yao mingi walikuwa wanaongea muda ambao mim nisharudi mkuuπŸ˜„
 
Anhaa pole sana kwa unyanyasaji wa kihisia ambao wamekufanyia hao watu mkuuπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…