Ila kuna vitu vinakera sana

Ila kuna vitu vinakera sana

Wew kila post upo hunaga kazi na wewe?

Kila post yenye dukuduku hutaki ipostiwe huku eti iende kwa mlengwa umeambiwa sisi wengine hatuitaki?

Ukiona huna cha kuchangia shona mdomo utoke kimyakimya.
Mkuuu..Sina kazi vipi unaTAKA uniajiri?

Nikiamua kucomment ASUBUHI Hadi jioni...Wewe unawashwa Nini?...
HILI bando umeniwekea Wewe?

Tena ukome KABISAA wewe
 
Wew kila post upo hunaga kazi na wewe?

Kila post yenye dukuduku hutaki ipostiwe huku eti iende kwa mlengwa umeambiwa sisi wengine hatuitaki?

Ukiona huna cha kuchangia shona mdomo utoke kimyakimya.
Kama unamfuatilia nakujua kua kila post yumo ina maana na wewe pia umo nae kwenye kila post,

Au nasema uongo ndugu wananchi?
 
Habarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.

Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .

Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.

Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
Tatizo lako weye ni kinganganizi hiyo ndio shida ,na ukiwa mpole sana demu anakuona weye mshamba na huwezi kupata demu kama yy ,lazima uwe mtu wa kutoeleka lkn unakuwa hewallah bibi kila kitu mwisho wanakuona boriiiing hao ndio wanawake code yao ni WANAWAKAAA na code yetu sisi wanaume WANAUMAAA.
 
Yulee wakwako ambae hakujibu Wala hapokei ambae alikwambia haumpi uhuru kwanini na yeye usingeenda kumwambia yeye?? Ukajakutuambia huku.

Nilimlaumu yule jamaa ila nshaanza kuhisi wewe ndo tatizo.
Nimemwambia mkuuu...natumeyazungumza na tukafikiwa common ground.

Nimeona wapi.nlikua nasanda nayeye pia..hivyo we are moving on the right track
 
Kwahyo umekuja kutuomba ushaur au kutueleza vimbwengà vya huyo mtumiaji wa k-vant mwenzako maana cjaelewa dhamira yako mkuu
 
Back
Top Bottom