Ila kuna vitu vinakera sana

Ila kuna vitu vinakera sana

kilamba lamba

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
427
Reaction score
738
Habarini wana jamvi wa MMU, natumai mu wazima humu.

Daaaah, kiukweli kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .

Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.

Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
 
Naomba umfikishie dukuduku lako muhusika...unakerekaje wakati was kumwambia yupo
 
Habarini wana jamvi wa MMU ,natumai mu wazima humu.

Daaaah , kiukwel kuna vitu vinakeraa sanah Ila ndo hvyo tu . haiwezekan unaamka unamtext MTU mamb umeamkaje anakujibu "P" tena ya herufi kubwa , unamwambia nakupenda yeye anajibu "sawa" tenah ya herufi ndogo .

Imenikera sana , sawa dawa take inachemka ntamkomesha , bora aseme kam nimemkera tu nijue.

Nb: tulivyokuwa wema mlitupa ubaya sasa mwaka huu tunakuwa kama mlivyotaka
P
 
Kupendapenda mtakuja kupenda majini.
TAFUTA PESA, ukizipata sms zote nzuri utatumiwa wewe
 
Back
Top Bottom