Ila kuachwa

Manyau nyau ushaanza chai 😹😹
Demu yupi huyo anakutaka? 🀣
 
Kumbe hujawai niona KWENYE uzii wa selfie 🀳

Au ni screen shot missed call zake uone..

Mpaka wife kasema Kuna hiyo na 78
Inakupigia SANAAAAAA
Weeh yupi huyo?
Yaani huu umbea umenipita tena upo kijiwe nongwa selfika kabisaaa..!! πŸ˜₯πŸ₯Ί

Weka tuone hizo screen shot isije kuwa matango pori 😹😹
 
Ina maana kijana hakukolea na mambo ya Ntwaraa? Aisee. Tusikitike kidogo πŸ˜”
 
MBONA WENGI MNATOA POLE KIBOYA BOYA WAKUU,

yaani Leejay49 nilikuheshimu sana humu jamiiforums lakini daahπŸ˜₯ i didn't know you're weird

Mkuu Natafuta Ajira na braza Zemanda naomba mje kusema neno hapa lazima pachimbikeee haiwezekani yaani

Yoda na Rayns usisahau kuja na Delly_

LOVE IS ILLUSION, AND THERE'S NO ACCIDENTALLY CHEATING

..,...........your faithfully
..........,.........traxx
the Folliculostellate
 
Cheating is an unforgivable act that signifies a loss of respect and trust,
Cheating can destroy the foundation of trust in relationship,
A cheater have lost respect for their partner,and this is permanent,
cheating is a pattern of behavior that is unlikely to change,and therefore,should't forgiven,

The pain and anger from being cheated on can lead to long term negative effects on one's mental health and self esteem,

Never forgive a cheater in you life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…