Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,106
- 111,763
Kwa bahati mbaya siku hizi wanaume wengi hawaliwezi hili wanabaki kulia lia.Ukimsamehe basi atakudharau zaidi ya alivyokudharau mwanzo,na atazidisha kukucheat,coz kucheat ni tabia na sio ajali,
Pia utaishi nae kwa wasiwasi coz hutamuamini tena,life is too short,kwanini uishi kwa wasiwasi?
Msaliti,mfungulie mlango aende zake kisha delete kila kitu kinachohusiana nae na uingie kwenye Dunia nyingine kabisa bila yeye.
π€£π€£Imfikie binti yangu Leejay , mwambie bado moja ya mwisho hatosikia maumivu tena.
Kabisa aisee...maana kuna watu wanasambaratisha kila kitu..ni wakatili haswa...hahahaπππππ
Ila usaliti kuuvumilia ni ngumu, ukiwaza jinsi tendo lilivyokua,
Woiiiiiih!! πππππ
Umeongea kwa uchungu Sana ,dhahiri umepitia mengi mno.Ni hatari sana, mwanamke unaweza ukamnunulia ndinga la milioni 200 akatoka kwenda misele njiani akakutana na boya mmoja tu akampatia kamseleko kufika mbele mafuta yamekata, basi jamaa akijiongeza tu akamchangia mwekundu 1 tu wa mafuta hiyo inatosha kabisa kuwa tiketi ya kukusaliti, wanawake mambo yao wanayajua wenyewe ni ya hovyo sana.
Hao sio wanaume ni wavulana,Uanaume ni Sifa ya kua mwanaume na sio umri.Kwa bahati mbaya siku hizi wanaume wengi hawaliwezi hili wanabaki kulia lia.
Hakika mkuu na hili halifundishwi darasani ni masculine natureHao sio wanaume ni wavulana,Uanaume ni Sifa ya kua mwanaume na sio umri.
Nyenzi sasa wataelewa, hapa hakuna kuoa zaidi ya kujaza maputo hewa baada ya mieezi tisa naswagia ndama nyumbani, namuacha yeye aendelee kulukaluka kama nyumbu pale serengeti.Mwanamke kwenye suala ya kutoa mbunye, ni suala la sekunde tuu, muingie vzr tuu.
Wanawake wanazingua Sana aiseeNyenzi sasa wataelewa, hapa hakuna kuoa zaidi ya kujaza maputo hewa baada ya mieezi tisa naswagia ndama nyumbani, namuacha yeye aendelee kulukaluka kama nyumbu pale serengeti.
Wataelewa tu, wenyewe si wanatuona ATM card, sisi tutawafanya malango ya mataifa ya wana wa israel, ngoma drow drow.Wanawake wanazingua Sana aisee
Halafu uko farπππππ
Ila usaliti kuuvumilia ni ngumu, ukiwaza jinsi tendo lilivyokua,
Woiiiiiih!! πππππ
Kunammoja mpuuzi sana, nikisikiaga hata jina lake kwenye redio nahisi kupasuka.Umeongea kwa uchungu Sana ,dhahiri umepitia mengi mno.
Unamtumiaga yupi?Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.
Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.
πππππ
Pole Sana , ilikuwa vipi ? Ulishuhudia kwa macho akiidondokea kwa bed?Kunammoja mpuuzi sana, nikisikiaga hata jina lake kwenye redio nahisi kupasuka.
Acha maswali mengi wara ujuaji mwingi hapa, pia punguza sauti usije ukanivua nguo mchana kweupe hapa, si unajua siku hizi kila mtu ni mwandishi wa habari wa kujitegemea.Pole Sana , ilikuwa vipi ? Ulishuhudia kwa macho akiidondokea kwa bed?
Badilikeni haraka sana, hasa wewe wa kanisani kwetu unatuaibisha sana sisi wazee wa kanisa.Kweli umedhalilika mdogo wangu,kuachwa Kwa kucheat hiyo mbaya Sana Kwa Sisi tunaojifanya WA mama wachungaji kutoka jumuia ya MT.secilia
πAcha maswali mengi wara ujuaji mwingi hapa, pia punguza sauti usije ukanivua nguo mchana kweupe hapa, si unajua siku hizi kila mtu ni mwandishi wa habari wa kujitegemea.