Ila JF bwana!

Kwa hiyo,unashauri Nini?
 
Binti Sayuni03 kama nakuona vile upo siti ya nyuma kulee, ona kulee umevaa gauni la pink kwenye kundi namba 1 na birika lako kubwa la chai unasubiri tu kutugawia
๐Ÿ™‚
 
This is JF, usiamini Kila kitu nyingi humu ni chai ila Jambo kubwa ni kwamba kwenye hizo chai kuna mambo mengi na mazuri Sana ya kujifunza hivyo ni vyema kuchukua unaloona linafaa hata kama limetoka kwenye chai wewe ukalitumia kwenye uhalisia kusonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ