Ila huu ukweli lazima usemwe

Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Hebu ntumie picha na mimi nihakikishe
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Natafta mwanamke alieshindikana I think time match
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
HE!! ...
 
Nilichogundua watu wengi linapokuja suala la kuoa au kuolewa wanataka "perfect match" kitu ambacho ni kigumu sana kutokea , Hii ya kutaka kupata mtu mtakaye-endana kila kitu inaweza kukuchukua hata miaka 50, Kumbuka duniani tupo kwa muda.

Na kila siku inavokucha unazeeka, Expire date yako ikifika wala hutajua, mwisho wa siku ndo ile "Mi nataka yeyote anayepumua"
 
Nimeshawai kushuhudia jamaa anaoa mke m'bovu bovu lakini baada ya kama mwaka iivi yule mwanamke alibadilika akawa mzuri balaa.. Ni tunavowatunza tu wakiwa wenyewe hawawezi kujitunza hawa
 
Wee usijali mwisho wa mwaka nakuja kujitambulisha...mwanzoni mwaka kesho bonge la shehere yaani pale uwanjanwa taifa tunawaalika wana jf wote. Sie tutaingia na choper yetu
🤣🤣🤣🤣Ndiyo Ndiyo future husband
 
Mkuu umenena vyema maana mda si mrefu APA nimekutana na mke wa MTU mweupee anang'aa mzr balaa, mi nikajua demu tu wa mtaa ile kuangalia vzr daaah kumbe ni dem wa mshikaji mmoja ivi wana duka lao APA mtaani.
 
Kwa iyo Unaungana Moja kwa moja na Wale Jamaa sijui Wanaitwaje Waliimba

'Wanawake Wazuri Wazuri Wameolewa ...Yamebaki Mandungaemba Yanaangaika'
Huu wimbo mbona huwa haupigwi, wakati una ujumbe mzuri?
 
Naunga mkono hoja

Wanaume waliooa wake zao wazuri aseee manake nikijiangaliaga mimi ambaye sijaolewa tabia zangu na walioolewa ni kama ardhi na mbingu

Kuna muda nikijiangalia najiuliza hivi nitaolewa kweli?
Utaolewa tu. Kuna mtu atakupenda na kukibali mapungufu yako.
 
Kwa iyo Unaungana Moja kwa moja na Wale Jamaa sijui Wanaitwaje Waliimba

'Wanawake Wazuri Wazuri Wameolewa ...Yamebaki Mandungaemba Yanaangaika'
Kwa kiasi fulani naweza kusema nakubaliana nae kutokana na uzuri wa wanawake wengi walioolewa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…