Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

Leejay49

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
19,295
Reaction score
60,915
Wakuu habari ya leo,.
(Chit-chats and jokes)

Leo em mniambie kwanza Kuna uhusiano gani kati ya hali ya hewa (baridi) na kula sana. kipindi cha baridi nakuwa njaa mda wote,. Yaani nakula kama kiwavi😌

Mfano leo,. Wakati natoka nyumbani nlikunywa uji mandazi mawili nikachukua na maziwa mtindi na maji nikajiambia hapa nishashiba maziwa mtindi na maji yatanisogeza Hadi jioni nitarudi kula nyumbani,. Mwe!😅

Picha linaanza kabla ya sa3 njaa ikaanza kuuma nikanywa maziwa yote haijapita hata nusu saa najiona kama sijala kitu nikaagiza supu nimekunywa,. Nikanywa na maji mengi lakini sa6 sita sa7 njaa tena ikaniuma, nikaagiza chips nimekula nimekunywa maji meengi lakini tumbo naliona liko empty .. Saizi Tena nimekula parachichi na yogurt nimemaliza lakini Bado naona kama tumboni Kuna vitu vinacheza vinaniambia inabidi Nile tena maskini😭😂
1000000984.jpg

Dawa za minyoo nazinywa sana lakini hali naona Bado,. Nashindwa kujizuia kula .. Anayejua tatizo nini please au ndio baridi??
 
Wakati wa baridi mwili unahitaji joto zaidi, na ina maana metabolism inachukua nafasi kwa sehemu kubwa, hivyo unavyo kula ndipo metabolism inachukua nafasi kubwa zaidi na kuzalisha ATPs nyingi ndani ya mwili, kumbuka hupotezi joto Ila unatunza joto unatunza vipi ? Lazima upate vyakula

Wataalamu wataongezea

cc Dr am 4 real PhD
 
Wakuu habari ya leo,.
(Chit-chats and jokes)

Leo em mniambie kwanza Kuna uhusiano gani kati ya hali ya hewa (baridi) na kula sana. kipindi cha baridi nakuwa njaa mda wote,. Yaani nakula kama kiwavi😌

Mfano leo,. Wakati natoka nyumbani nlikunywa uji mandazi mawili nikachukua na maziwa mtindi na maji nikajiambia hapa nishashiba maziwa mtindi na maji yatanisogeza Hadi jioni nitarudi kula nyumbani,. Mwe!😅

Picha linaanza kabla ya sa3 njaa ikaanza kuuma nikanywa maziwa yote haijapita hata nusu saa najiona kama sijala kitu nikaagiza supu nimekunywa,. Nikanywa na maji mengi lakini sa6 sita sa7 njaa tena ikaniuma, nikaagiza chips nimekula nimekunywa maji meengi lakini tumbo naliona liko empty .. Saizi Tena nimekula parachichi na yogurt nimemaliza lakini Bado naona kama tumboni Kuna vitu vinacheza vinaniambia inabidi Nile tena maskini😭😂View attachment 3366943

Dawa za minyoo nazinywa sana lakini hali naona Bado,. Nashindwa kujizuia kula .. Anayejua tatizo nini please au ndio baridi??
Umeandika kiutu uzima sana wakubwa tushakuelewa!..

Nakuja baby wangu wa mtandaoni
 
Wakati wa baridi mwili unahitaji joto zaidi, na ina maana metabolism inachukua nafasi kwa sehemu kubwa, hivyo unavyo kula ndipo metabolism inachukua nafasi kubwa zaidi na kuzalisha ATPs nyingi ndani ya mwili, kumbuka hupotezi joto Ila unatunza joto unatunza vipi ? Lazima upate vyakula

Wataalamu wataongezea

cc Dr am 4 real PhD
Walau kidogo nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom