Ikwiriri tunashuhudia live uapisho huko majuu

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,529
1. Tupo hapa uwanja wa Ujamaa - Ikwiriri tukitizama bila chenga tukio kubwa duniani.

2. Asante Chama Chetu kwa kutuwekea TV kubwa hapa uwanjani bila malipo
 
Attachments

  • download (19).jpeg
    download (19).jpeg
    10.9 KB · Views: 22
Hayo ndio mawazo ya vijana wa ccm kushabikia, kusifia vitu visivyo vya msingi
nilijtegemea labda shukrani na pongezi kwa kupata ajira au mikopo ya biashara ili waweze kujinunulia TV zao kama asset majumbani mwao kumbe ni pongezi za msaada wa masaa machache na kuwa watumwa wa kuitwa uwanjani kwa jambo lisilo na faida kwao
 
Unaumia ukiwa wapi?
 
Back
Top Bottom