Ikulu yatoa ufafanuzi wa uteuzi Bi, Charangwa Selemani DAS wa Ilala na Magalula Mkurugenzi Itigi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,980
Ufafanuzi uliotolewa na Ikulu unasema kuwa Bi.Charangwa Selamani Makwiro (pichani) ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala, aliyehamishwa kituo cha kazi Kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na kwenda kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Itigi ni John Magalula.
IMG-20191001-WA0049.jpeg

IMG-20191001-WA0050.jpeg

Hapo awali alitajwa kama Bwana wakati ni bibi.
IMG-20191001-WA0048.jpeg
 
ccm mbele kwa mbele, hongera sana dada kukitumikia chama kwa uaminifu, kachape kazi, usimwangushe rais wetu, jpm
 
Huyu Charangwa Selemeni si ndio alikuwa RAS Iringa ambaye alimuachia ukuu wa wilaya kisarawe Jokate?

Hapana, unayemzungumzia wewe ni Happiness Seneda, yeye bado anaendelea na nafasi yake huko Iringa. Huyu alikua mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Pwani.
 
Back
Top Bottom