Ikulu yamshangaa Dk. Mahanga

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
12498611_1018094404921684_355653045_n.jpg
 
sefue analeta blah blah tu,asme katika serikali iliyopita hao makatibu na manaibu katibu wakuu 54 mchanganuo wao uko vipi,usije kukuta kati ya hao 54 makatibu wakuu 40 na naibu ni 14 na hawa 49 wa magufuli 44 ni makatibu wakuu...my point is,makatibu wakuu ndio wanaokuwa na vote(expenditure vote)....something is not clear kwenye kupunguza gharama kwa magu!!!
 
mi naic kweny makatib kalenga utendaji na uadilifu watu ambao hofu itakuwa kubwa kutimliwa watakapoenda kinyume kuliko mawazir wanaoweza kuvuliwa wakabaki na ubunge hajalenga matumiz ya pesa
 
Yaani utendaji na uadilifu unaaendana na kuweka Makatibu 3 ktk wizara moja????
kafanya ivo akilenga watu ambao itakuwa rahis kuwatimua moja kwa moja sio kuvuliwa uwazir ukabaki mbunge hajalenga matumiz ya pesa kwa makatib ukizingatia matumiz ya kifedha yameongezeka
 
Mahanga tuliyeambiwa alikimbia na masunduku ya kura na kumpora Mpendazoe ushindi 2010 ndio anasimama kuhoji? Chadema huyu nae alitubu na kusamehewa? Alafu ikulu inamjibu vipi mtu kama huyu? Ule uswahili wa kujibu kila anayekurupuka kutoa tamko ni kupoteza muda wa kufanya kazi zingine muhimu kwa taifa ....
 
sefue analeta blah blah tu,asme katika serikali iliyopita hao makatibu na manaibu katibu wakuu 54 mchanganuo wao uko vipi,usije kukuta kati ya hao 54 makatibu wakuu 40 na naibu ni 14 na hawa 49 wa magufuli 44 ni makatibu wakuu...my point is,makatibu wakuu ndio wanaokuwa na vote(expenditure vote)....something is not clear kwenye kupunguza gharama kwa magu!!!
Navojua mimi Magufuli aliahidi kupunguza baraza la mawaziri, na ndicho alichofanya. Hakuahidi kupunguza watumishi wa serikali. Juzi hapa kasema mashirika yasiyo na tija yapunguze wafanyakazi, watu mkatokwa povu kibao humu kujifanya mnajali ajira za watu, leo hii watu hao hao mnataka makatibu wakuu sijui manaibu wapunguzwe kazi, mbona hamueleweki sasa? what do you want guys?
 
Hata Raisi akiweka wawe 100 kwa 100.

Mwisho wa siku ni hapa kazi tu na mtaisoma namba.

Mngepewa nyie uo ukatibu na huyo aliyekatwa hata asiyeyasema hayo, akakae chini alee familia sasa.
 
Mahanga tuliyeambiwa alikimbia na masunduku ya kura na kumpora Mpendazoe ushindi 2010 ndio anasimama kuhoji? Chadema huyu nae alitubu na kusamehewa? Alafu ikulu inamjibu vipi mtu kama huyu? Ule uswahili wa kujibu kila anayekurupuka kutoa tamko ni kupoteza muda wa kufanya kazi zingine muhimu kwa taifa ....
Hata wewe ungezifanya hizo kazi muhimu,kuliko kuja hapa JF,
 
Back
Top Bottom