Ikulu ya Saudia Majaribu, milio ya risasi

Ikulu ya Saudia Majaribu, milio ya risasi

April 21, 2018 ilikuwa siku ya Heka heka kwenye Ikulu ya Saudia, Milio ya Risasi nzito nzito ilisikika. Wengi tulidhani, kuna mapinduzi yamefanyika. Ni wakati wa kabla ya tukio hili, Kijana wa mfalume/ama mrithi wa mfalume alikuwa ametamba sana kwenye vyombo vya habari kwa ziara zake huko UK na US na baadaye Ufaransa.
Lakini toka Ikulu ipate heka heka hii, Kijana huyu wa mfalume, bwana mdogo 'King M. Salman' hajaonekana hadharani. Wairan wanasema yawezekana kijana huyu alijeruhiwa kwenye milipuko hiyo ama vinginevyo. Fuatilia zaidi.
===
The apparent disappearance of Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman from the public eye has led several Iranian media outlets to wonder if one of the most powerful men in the kingdom might’ve been killed during an attempted coup last month.

Saudi Crown Prince Mohammed bin Salman was allegedly hit by two bullets during the April 21 attack on the royal palace in Riyadh and may actually be dead as he has not appeared in public since the incident, Kayhan newspaper reports citing "a secret service report sent to the senior officials of an unnamed Arab state."
---
Where's Mohammed? Media Speculates About Possible Death of Saudi Crown Prince
 
Bodyguard wa Mfalme wa Saud Arabia auawa akiwa kwenye nyumba ya Rafiki yake huko Jiddah!
Ni boyguard aliyejizolea umaarufu kwenye ikulu ya Saud Arabia. Taarifa za kina bado hazijatolewa na ikulu ya nchi hiyo. Hii imetokea mwaka mmoja na miezi kadhaa baada ya kutokea "varangati" kwenye Ikulu ya nchi hiyo.
===
 
Rafiki yake kamtwanga risasi ugomvi binafsi. Unajua ukiwa na bunduki ama mguu wa kuku mtu akikukera ndio kama wewe unapomalizia hasira kwa kusonya ama kurusha ngumi ila wengine ni kuichomoa na kuipekenya tu. Simple as that I send you to hell
 
Back
Top Bottom