IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

Hakuna kitu chochote kinacho mshinda binadamu anaye ongozwa na Mwenye Enzi Mungu walahi
Chapa kazi JPM
Maadui zako wote wafe wao na vizazi vyao milele yote walahi
Amina dada ! Maadui wa maendeleo walaaniwe na kila mtakia heri nchi yetu !
 
Ninawasisi sana kama wamisri wanauwezo Wa kiutaalam Wa kujenga mabwawa. Mradi kama huu wangepewa wenyeuwezo kama Muisrael. Lakini wa wamisri wanaweza fanya Mradi uwe na life span ya miaka 10 ikaitaji ukarabati mkubwa.
Aswan high dam ilijengwa lini ? Na nani ? Hebu usome kidogo basi sio ku doubt tu bila reference...
 
Wakosoaji na wapingaji hawatachoka, wataendelea ingawa hawatafanikiwa. Tulitoka kwenye sababu za mazingira na kuaminishwa miti itakayokatwa ni ukubwa wa eneo zima la mkoa wa Dar es salaam.

Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge - JamiiForums

Sasa kisingizio kitakuwa matumizi ya kodi kana kwamba serikali inategemewa ichapishe noti kwa ajili ya mradi. Ebooo serikali inakusanya kodi kwa matumizi ya maendeleo.
 
Nina wasiwasi ikawa white elephant kama gas ya mtwara. Gas ya mtwara ilisemekana kuwa suluhu ya matatizo ya umeme Tanzania, leo hii zimejengwa kinyerezi one hadi three, but all on vain..

Angalia jedwali hapo chini uone jinsi tarrif za TANESCO zinavyoumiza watanzania, huku tuliaminishwa kuwa baada ya gas umeme ungeshuka bei kwa asilimia kubwa. At least serikali hii iliamua kuondoa monthly service charges...View attachment 965556
Unahaki ya kua na wasiwasi mkuu, ila kumbuka hii sio zama za Jk huyu ni JPM jitu la kuacha positive legacy na sio mutu ya kukubali kushindwa.

Binafsi ninaimani na uongoz wa awamu hii ya tano.
 
kwa hiyo tumechemka kwenye gas sasa tunakimbilia kwenye maji,alafu huyu jpm na waziri wake watulipe fedha yetu waliotufanyia valuation ili tupishe ujenzi wa umeme wa gas,waache mbwembwe
 
uchumi tutaujenga wenyewe ukitaka ujengewe uchumi na nchi nyingine sahau. maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli aongoze miaka 20 ili tupae kiuchumi.
Nashindwa kabisa kuielewa mitanzania sijui imeumbwaje kiakili, nakati tayari imeshatugharimu zaidi ya miaka 54 ya uhuru ndiyo kwaaanza tuko hapa leo hii kiuchumi kwa kuwategemea hao mabepari wa nchi za magharibi, sasa chukulia bado tu akili zetu zimelala na wala hatutaki kujihangaisha kwa kumvumilia Mkuu ili tuikuze nchi yetu sisi wenyewe kwa kupitia wakati mgumu kidogo kimaisha.

Mijitu imekaa kinjaa njaa tu kama vile kila kitu kinapatikana kiulaini laini pasipo kuumia kwa bidii za kujituma na kuwa na subira ndipo mafanikio yaje baadaye.
 
Haya mawazo yako ni kinyume na katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kinachotakiwa ni kutekeleza yale yatakayowezekana kwa kipindi ambacho wananchi watampa yale yatakayoshindikana yatasubiri Rais anayefuata
Atoke wapi huyo Raisi mwingine ikiwa kumpata Raisi mwenye uthubutu wa uzalendo kwa maendeleo ya nchi yetu amepatikana baada ya miaka 50?

Au atoke madarakani ndipo tena turudi tulikokuwa badala ya kukomaa na huyu huyu tu?
 
Mkuu tanu ianze Songas na miradi yetu ya MW 200 na miService charge si ishapita hiyo trillion 6? Richmond, Dowansi mara IPTL na ule mradi wa Umeme wa Obama nimeushau jina hapo Ubungo, Jamaa kachoka na kiradi ya kijinga bora ajikurupue tu amalize hizi shida
Umenena vyema sana kijana
 
Ili tupae kiuchumi Anahitaji Aongoze Miaka 20 ili amalizie miradi yake yote, kama ninavompinga jpm na ninapompongeza tuungane mkono makamanda.
Hata mia shida akija mwingine atakuja na vipaumbele vyake
 
Screenshot_20181212-132148.jpg
 
Al Sisi kasema atakuja kuzindua mradi, katuma mtu kutiliana saini. Magu ame show up kwenye kila kitu kuanzia uzinduzi wa library za vyuo mpaka vitambulisho vya wamachinga ni vya ofisi ya Rais. Halafu anadai yuko busy sana, kumbe anajishugulisha na yasiyomhusu.

Zimwi la Membe linasumbua.
 
kwa hiyo sisi wastaafu ndio tuendelee kukaa tu,bila kulipwa mafao yetu?Mungu anawaona tunawaomba nyie viongozi wa dini mliopo hapo karibu muukumbushe atulipe mafao yetu msiwe kama watu wengine wa kusifia tu, au na nyinyi amuoni kama ni haki yetu kulipwa?
 
Wewe umesubiria udaku tu wakati ulipaswa umsikie anachosema. Fuatilia hotuba yote urajazwa na roho ya upako ndugu.
Maneno aliyoyaongea Rais ni ya upako mtupu.
 
Back
Top Bottom