Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Hiyo itakuwa nipropaganda tu ya Serikali inajitahidi kujificha katika maovu yake,kwani hayo waliokwisha kuyanunua wanayapeleka wapi?.wangetuambia watayauza wanunue ya bei ya chini na bakshishi yake ikusanywe zyanunuliwe magari ya kubebea wagonjwa ningewaelewa kidogo.Hivi Serikali inayowapa wananchi wake Wa maeneo ya vijijini(barabaa mbovu-hazipitiki)bajaji kwa matumizi ya kubebea wagonjwa,,mnaamini kuwa wayaweza kuachana na magari haya ya thamani V8??thubutu yao,Yangu macho bado nnaendelea kusubiri episode nyingine ya haya magari maana zilizokwisha kutangulia ni nyingi tangu ile ya mtoto Wa mkulima-waziri mkuu Pinda.