yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Wana jf.
Naamin mko salama, lengo la uzi huu ni kuishauri ikulu kuanzisha kitengo maalum ikulu itakayomsaidia rais kujibu posts za mitandaoni ambayo kwa haraka haraka tu nimeona yeye ni msomaji mzur tu wa posts za kwenye mitandao badala ya kumwachia kujibu mwenyewe.
Ni wazi rais Magufuli anatumia mda mwingi kuchungulia yanayojiri twiter, jf, fb na vingine vingi lakini nawaza kwa sauti kwamba Magufuli anapata wakati mgumu sana kuchambua post hadi post na kuanza kujibu jambo ambalo inawezekana inamkwamisha kuongea maswala ya maendeleo mfano jana wakati anawaapisha mawaziri wake alianza kujibu post hadi post. Kama vile Mwakyembe hatofika kuapishwa, Kinana kuongea na waandishi wa habari Lumumba nk.
Nawasilidha.