Ikulu, Dar: Rais Magufuli azungumza na Wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito

Well said👍🏽👏🏽
 
Kwa kweli niliangalia kile kipindi TBC kuhusu hawa jamaa mawili wanaozalisha umeme wa maji huko njombe maeneo ya vijijini na kuugawa bure umeme kwa wananchi.Nilivutiwa sana na ubunifu wao na jitihada zao za kuzalisha umeme na kuwagawia wanavijiji wenzao bure kabisa. Ila kusema ukweli hata mimi binafsi nilishangaa na kukasirika kiasi fulani pale ambapo meneja wa Tanesco Mkoa wa Njombe alipohojiwa na mwandishi wa habari kama anafahamu chochote kuhusu hhawa wabunifu na wazalishaji na meneja kukuri kutofahamu chochote lakini mbaya zaidi ni pale aliposema kwamba wanawasubiri hao wazalishaji waende ofisini (Tanesco) ndio wajadiliane nao.

Nilishangaa sana na kuwaza wamba kama ndio aina ya viongozi tulionao kwenye mashirika yetu basi tuna safari ndefu sana. Na si hili suala la umeme tu kuna wabunifu wengi sana ambao kama ubunifu wao ungethaminiwa na serikali na kuuendeleza uengeleta manufaa makubwa sna kwenye jamii yetu lakini NO BODY CARES!
 
Kusema kweli nimefurahishwa sana na rais kwenye hili. Ndiyo inavyotakiwa kuendesha hii nchi. Maghufuli avionye tu vyombo vya usalama visitumie fursa kunyanyasa wananchi na visasi. Maana huyu rais anahitaji support kubwa kabisa!
 
" Rais amewataka viongozi kuwa na utaratibu wa kuangalia runinga ya taifa na kufuatilia kitu chochote kitakachokuwa kinatolewa kinachohusu wizara zao ili waweze kuvifanya kazi".

We have a communication problem people!
 
Hii safi
 
Pumbavu kabisa! Eti mapumbavu yanaulizia CV! Yani hiyo habari kidogo initoe machozi ya gadhabu! Miafrika tunakwamishana wenyewe! Rais ajifunze sasa kujaza hao wenye phd si solution kwenye hii nchi! Yani hadi mjerumani ndiyo amekuja kumthamini darasa la saba!

Na hilo jamaa lenye miwani, linalo ile mentality ya kutaka litumikiwe badala lenyewe ndo liwatumikie wananchi, lenyewe kukaa ofisini na kubweka maamuzi tu! ningekuwa rais ningelitimulia mbali. Pambaaf kabisa😡
 


"Na wapulizwe kiyoyozi mpaka mwisho wa safari" alisisitiza
 


Hapa umedanganya kabisa, Rais amewakabidhi kila mmoja Milioni 2.5 (ametoa 5M kwa wote wawili na akasema wagawane
 
Da, Mwinuka amepata taabu sana!


Najaribu kufikiria hali aliyokuwa nayo meneja wa Tanesco mkoa wa Njombe baada ya kusema alikuwa anawasubiri ofisini kwake badala ya yeye kwenda site.

Nahisi kama alikuwa anafuatilia session ile Ikulu atakuwa alijifunga mipira miguuni mithili ya wale wanaotumia pombe aina ya wanzuki
 
Yani jamaa hadi nyaya amechoma matairi kuzipata, halafu kuna wajinga wako maofisini kwenye viyoyozi wanatafuna kodi zetu!🤢 Halafu wanabana pua “walete CV”, huku mjerumani yeye anasaidia! Umasikini wetu umechangiwa na ujinga wetu na si kitu kingine chochote!

Halafu Maghufuli lazima ni member humu. Amenifurahisha sana kwenye kuelezea “an educated person” watu wana mavyeti lakini ni wajinga waliopewa nafasi ya kutuongoza!

Maendeleo ya waafrika yataletwa na sisi waafrika wenyewe. This is something I have learned in my entire life. Hakuna anayetupenda, si mzungu, si mchina, si muindi, wote wanatuchukia.
 
Viongozi wote kwenye mashirika ya umma hawafai hata kidogo! Ni kufumulia uongozi mbali na kuweka watu ambao ni “proactive”, wasiokaa maofisini, walioelimika, na wenye uchungu na hii nchi.
 
Ujue waafrica tunamtafuta mchawi wa maendeleo lkn kumbe yupo kwenye fikra zetu.
Ndiomana kuna wakati nafikiria kama tunaweza kumpata tena kiongozi mwenye falsafa kama ya huyu mzee, atakapo maliza muda wake.
 
Kuita na kuongea na watuwa fanimbalimali bila kutatua kero zao,kuweka mipango ya kuwatumia ipasavyo ,kuandaa mahitaji yao na soko ni kazi bure .
 
Kwa kitendo cha kugawa bure ndio Mungu aliwabariki na sasa wamelipwa Mungu ana njia zake.
Big up JPM najua hii pia sababu Rais kuwa serious na issue hii ila hawa tanesco Njombe ni MAZUZU sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…