Ikulu, Dar: Rais Magufuli azungumza na Wabunifu wa mitambo midogo ya kufua umeme kwa kutumia maji ya mito

Mkuu kununua mtambo watu hawaangalii tu uwezo wa kuzalisha,Kuna issue za safety,kuna issue za spear parts,kuna issue za kimazingira etc.acheni upumbavu
 
Hatua hii iwe mwanzo na Chachu ya kuongeza imani na shauku ya wenye vipaji kufanya makubwa.
Ziko ubunifu ambao unaweza kubadisha maisha ya watu wengi kiuchumi kama hatua atachukuliwa.


Justin Mungure; Atengeneza trekta la kilimo, aishukia Serikali


Tuesday April 16 2013





Kwa ufupi

Anasema trekta hilo ambalo amelipa jina la ‘Lukuasi’ yaani kuchimbua kwa lugha ya Kimeru, amelitengeneza kwa kutumia injini ya pikipiki, lakini ameiongezea nguvu inayoliwezesha kulima na kufanya shughuli nyingine.


 
Myonge mnyongeni lakini haki yake mpeni , kakurupuka kwa lipi? umemuona meneja Tanesco wa njombe , wananjombe wanasema "ame jideula " hana hofu wala wasiwasi anajibu waandishi wa habari , halafu mnamsema mh.Magufuli kakurupuka ! Kweli ?.
 
Umemsikia lakini huyo mzee alieelezea kuhusu hiyo pump ya tangu enzi za Mwalimu nyerere? Na anakwambia Hakuna hata mtalamu wa tanesco wala wa maji aliyejitolea kuijua huo mtambo? Kwahiyo bila mh. Magufuli Leo kuwaita je tungejua kuhusu huo uchafu waliokua nao hao watu wa serikali? Mnasema raisi anakurupa lakini heri ya hizo kukurupa kwake ndio sisi watanzania tutasikia na tutajua mengi zaidi. Na kwa mwenye akili basi atajirekebisha
 
Sikiliza mainjiniia wenzio wanavonangwa na darasa la saba Yuko vizuri kuliko wao. Raisi kasema elimu kazi yake Ni kusolve problems Sio Kuonyesha CV
Level yako ya uelewa ndogo. Unaongea topic usiyojua hata basics essentials. Kapige domo vikao vya chama huko mtaelewana vizuri na dropouts wenzako.
 
Usipende kuagiza kila kitu Kuna vingne onana ana kwa ana na watu husika

Anachofanya nn sahih waliokuwa chini yake weng n wavivu kwa ufuatiliaji
 
Watalaam tatizo lao hawaleti findings za maana ni bora awasikie live wahusika wenyewe moja kwa moja
 
Mkuu kununua mtambo watu hawaangalii tu uwezo wa kuzalisha,Kuna issue za safety,kuna issue za spear parts,kuna issue za kimazingira etc.acheni upumbavu
Hizi ndizo lugha za akina 10 percent.Tumekusikia Mzee wa ten percent.Uko vizuri kuipigania na kuitetea
 
Hata mimi naliona hili
 
Sikiliza mainjiniia wenzio wanavonangwa na darasa la saba Yuko vizuri kuliko wao. Raisi kasema elimu kazi yake Ni kusolve problems Sio Kuonyesha CV
kama yeye alivyotumia PhD yake kusolve tatizo la soko la korosho kwa wakulima kule kusini
 
Level yako ya uelewa ndogo. Unaongea topic usiyojua hata basics essentials. Kapige domo vikao vya chama huko mtaelewana vizuri na dropouts wenzako.
Msilete dharau kwa watu wasioenda shule , wengi wanaufahamu mkubwa sana , miaka ya nyuma shule zilikua chache, hivyo wachache waliochaguliwa ndio waliendelea na shule ila.wengi wenye ufahamu walikosa nafasi, huko njombe kunawabunifu sana , kuna jamaa anaitwa msigwa enzi za mwalimu alipata tunzo ya ubunifu , kuna mwingine alitengeneza ndege na akawa anairusha hapo njombe.
 
Aisee kwa hili jpm nimemkubali sana!
Watanzania tuna ile ya kufanya vitu kwa mazoea...... We angalia yule mzee anatengeneza pump za maji very simple ila Kuna vijiji kibao havina maji na wanamito kibao!

BIG UP MAGUFULI bana kamisa hao watendaji wako ni wazembe sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…