Ikulu, Dar: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa TISS Mstaafu, Apson Mwang'onda

Mbona sielewi jaman.. Naona team Lowassa wote wanajirudisha kimyakimya kwa jiwe kwani vipi kunani huko??
Alianza Edo
Akaja Rostam
Na Sasa namuona Mwanamkakati na kachero mkuu wa mpango wa kumuingiza Edo ikulu 2015 ndugu Apson..

Kunani jaman huko

Cc Evarist Chahali
 
Na wakati huo huo, Mkurugenzi Mkuu wa sasa wa Idara ya Usalama wa Taifa, Dkt Modestus Kipilimba.... Let me wait for the wrong news first
Yani wewe jamaaaa hauna hoja, uko desperate na usalama wako wa taifa, Kwanza haujui kujenga hoja unabaki kubuni buni mambo tu kwa kupata sifa labda....hakuna unachokijua kwa Sasa.....tafuta kazi na uache kushinda kwenye mitandao....
 
Anatafuta mbinu za kumkabili Membe 2020
 


Membe anamuumiza kichwa sana huyu bwana jiwe!

Sasa what's all this kama sio dalili za uoga na kutojiamini?

Bwana jiwe na hii dunia bana,moto ndio kwanza umeanza!
 
Yani wewe jamaaaa hauna hoja, uko desperate na usalama wako wa taifa, Kwanza haujui kujenga hoja unabaki kubuni buni mambo tu kwa kupata sifa labda....hakuna unachokijua kwa Sasa.....tafuta kazi na uache kushinda kwenye mitandao....
Heri yako wewe unaemfahamu huyu ngumbaru wa TISS, anajifanya mjuaji sana kumbe hana kitu.
 
Yani wewe jamaaaa hauna hoja, uko desperate na usalama wako wa taifa, Kwanza haujui kujenga hoja unabaki kubuni buni mambo tu kwa kupata sifa labda....hakuna unachokijua kwa Sasa.....tafuta kazi na uache kushinda kwenye mitandao....
Hii inaitwa personal attack, hauna tofauti kabisa na kichaa mwenzio. Vichaa utawajua tu kwa matendo yao hasa linapokuja suala la kujenga hoja kwa sababu hata hiyo elimu yako kiduchu uliyo nayo umeipata kwa kukaririkariri!
 
Sitaki kusema kweli ,ila najaribu kuunganisha dots tu

Apson Mwang'onda alikiwa ni mpanga mikakati ya kiusalama ya Lowasa , Rostam Aziz alikuwa ni Mfadhili Mkuu wa lowasa , Edward Lowasa alikuwa Mgombea anayeungwa mkono na hao wote .

Lowasa alishaitwa ikulu na uhusiano na Magufuli umeshamiri kipindi hiki

Siasa ni mchezo usio na adabu,Magufuli imebidi aangukie kundi la lowasa kuungwa mkono apambane na kundi la Membe sijui amwaahidi nini? Na kundi la membe limeonekana ni tishio sana ndani ya serikali ya JPM


Karata hajachanga vizuri ,kwani watu wa lowasa /membe ni watiifu kwa ma master wao na si vinginevyo ,kwa ushirikiano huu kundi la lowasa litajijenga sana , na kujijenga huku watakuwa na nafasi kubwa ya kuenda Magogoni 2025 na wakifanikiwa kundi dogo la JPM litafutiliwa mbali na hapo tutabaki na makundi halisi ambayo ni membe na Lowasa

Kiukweli hawa wataitesa CCM ,miaka Mingi sana, Na siasa za 2025 itakuwa ni kundi membe na kundi lowasa na sio kundi Magufuli

Kwa , siasa za sasa Magufuli anapambana na team membe ambayo ina nguvu mikoa kama Morogoro ,Mwanza ,Lindi ,Mtwara , Pwani na baadhi ya Mikoa ya Nyanda za Juu kusini.

Hivyo kuua hili kundi inabidi amtumie mpinzani wa membe kisiasa ambaye ni lowasa

Siasa mbaya sana Jamani
 
Nafikiri anavuliwa uDG

Kwa vile amehusiswa na Membe? I shall not be surprised!! Siasa za Bongo ndio zilivyo nakumbuka wakati wa Kikwete mama mmoja aliondolewa ukuu wa mkoa sababu mumewe alikuwa na ukaribu na Mwandosya!!!
 
Hivi hakuna mtu anaekagua mavazi ya rais kabla ya kupigwa picha?halafu pia haipendezi mnapiga picha mmoja anacheeeka mwngne hacheki..hii inamaanisha nn?mpiga picha hayuko makini hata kidogo anatudhalilishia rais wetu.hebu angalia vifungo vya koti hapo
 
Uongozi wa sasa unawajali sana wastaafu na kuithamini mno michango yao kwa Taifa walipokuwa katika nafasi zao serikalini.
Eti Uongozi wa sasa unawajali wastaafu! Hivi wewe umo kichwani zimo kweli au tayari ushaanza kuokota makopo? Ushasahau jinsi unavyodhurumu kwa kuwakata mafao yao
 
Kwann uamini ya Lowasa na sio jpm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…