nijothemaster
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 324
- 56
Wewe kesi ya nyani umpe ngedere halafu utegemee nini? Hizo kamati mbili zimehusisha watu gani? Hiyo nayo unaweza kusema ni independent committee?
Besides ni sh ngapi tunalipwa? Ni hizo figures za ajabu walizokuja nazo hizo kamati? Trilion 300 unaijua wewe? Semeni kama mnacholipwa ni hiyo 4% iliyopo kwenye sheria zetu mbovu.. Tusifanyane wapumbavu
hapa umeongea kwaniaba ya mzungu?....au ndio wewe mwenyewe mzungu