dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,847 Reaction score 61,886 May 19, 2023 #21 Freed Freed said: Ni yule bodyguard wa Rais. Mbona wa kawaida Sana tu!! Click to expand... daah labda genye zinanisumbua aisee
Freed Freed said: Ni yule bodyguard wa Rais. Mbona wa kawaida Sana tu!! Click to expand... daah labda genye zinanisumbua aisee
Kilimbatzz JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 9,131 Reaction score 14,611 May 19, 2023 #22 myoyambendi said: Kuna mambo mengine sio ya kukuza.. Mwenye kamera ndio kaifata chupa. Click to expand... Aahhaaaaa
myoyambendi said: Kuna mambo mengine sio ya kukuza.. Mwenye kamera ndio kaifata chupa. Click to expand... Aahhaaaaa
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 7,547 Reaction score 11,831 May 19, 2023 #23 Hilo lilikuwa tukio la Azam kuzindua minara yao ya DTT na mgeni rasmi alikuwa Rais SSH. Ulitaka mezani waweke bidhaa gani nje ya product za Bakhresa!!??
Hilo lilikuwa tukio la Azam kuzindua minara yao ya DTT na mgeni rasmi alikuwa Rais SSH. Ulitaka mezani waweke bidhaa gani nje ya product za Bakhresa!!??
I Isakhamisi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2019 Posts 397 Reaction score 455 May 19, 2023 #24 Retired said: exactly, sasa hili lina maana gani? ndilo tatizo la kuongozwa na mwanamke. Click to expand... Wewe mwenyewe unaendeshwa na hawara wako nyumbani
Retired said: exactly, sasa hili lina maana gani? ndilo tatizo la kuongozwa na mwanamke. Click to expand... Wewe mwenyewe unaendeshwa na hawara wako nyumbani
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,954 May 19, 2023 #25 Isakhamisi said: Wewe mwenyewe unaendeshwa na hawara wako nyumbani Click to expand... Hawara yangu ni mama yako? Is that OK!
Isakhamisi said: Wewe mwenyewe unaendeshwa na hawara wako nyumbani Click to expand... Hawara yangu ni mama yako? Is that OK!
Chizi Jambazi JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,869 Reaction score 1,471 May 19, 2023 #26 inchaji said: Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135 Click to expand... Hapa sio Ikulu, ni ofisi za AZAM
inchaji said: Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135 Click to expand... Hapa sio Ikulu, ni ofisi za AZAM
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 May 19, 2023 #27 Mama wa watu hajui kitu maskini. Hajui kwa kufanya hivyo anakuwa ameitumia ikulu kuitangaza bidhaa ya mtu binafsi
Mama wa watu hajui kitu maskini. Hajui kwa kufanya hivyo anakuwa ameitumia ikulu kuitangaza bidhaa ya mtu binafsi
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,418 Reaction score 13,747 May 19, 2023 #28 inchaji said: Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135 Click to expand... Bidhaa zipo nyingi sana kwenye hiyo picha!
inchaji said: Wakuu. Ukitizama vizuri hii picha ya Ikulu, ambayo naamini ilipigwa jana tarehe 18 May 2023, kuna bidhaa fulani ya biashara ya mtu binafsi inaonekana. Je, hii ni sahihi kwa kiasi gani?View attachment 2627135 Click to expand... Bidhaa zipo nyingi sana kwenye hiyo picha!