ooh!
HAO NI ALKAIDA no dauti
Hawa ni TALIBANI, nia waafghanistani wazawa wanao chukia uvamizi wa marikani na kubarikiwa na vibaraka wake
ooh!
HAO NI ALKAIDA no dauti
Kama huogopi kufa kajiunge na hao ndugu zako alikaida. Halafu hapa tunazungumzia kuvamiwa Ikulu ambapo hata innocent people watapoteza maisha. Hapa mkuu unazungumzia masuala binafsi ya dini. Anzisha tread ya dini ili upate mahali pa kutapikia hasira yako ya dini.
Nafikiri mods walichoshwa sana na lile jukwaa la dini ndiyo maana wakaamua kuliondoa kabisa. I can imagine kuwa na members wachache design yako huko kama si kutupiana mapanga na risasi hewani!!!
Sitasilimu hata akishuka mtume Mohamed live!! Niko tayari kukatwa upanga, call me kafiri, right!! It does not matter in my life!!!
Tupunguze hasira, masuala ya dini ni controversial sana.
Pasco you have nailed it. Watu wanazungumzia matokeo hawatafuti chanzo. Honestly they are entitled to defend their countries. Regime km ya Afghanistan will never sustain regardless of the forces applied.Imperialism has a cost, so do puppet regime, na hii sasa ndio gharama yenyewe ambayo Marekani na washirika wake, have to pay.
ooh!
HAO NI ALKAIDA no dauti
Kusema ukweli, Marekani na washirika wake, wanajutia uvamizi wa Iraq, na kama kweli God is just, nao pia moto wa milele unawasubiri. Ni kweli Saadam aliua Wakurd, ila vita ya Iraq imeua Wairaq wengi zaidi ya mara 100 ya waliouliwa na Saddam.Pasco you have nailed it. Watu wanazungumzia matokeo hawatafuti chanzo. Honestly they are entitled to defend their countries. Regime km ya Afghanistan will never sustain regardless of the forces applied.
Kila nchi inanamna ya kudefine demokrasia yake, huwezi kulazimisha model ya western countries ifanye kazi kila sehem. Ndiyo maana nchi za Africa na mashariki ya kati baada ya kuiga mifumo ya nchi za magharibi matokeo yake yanaonekana.
Mwisho haya yoote yanayotokea wala si kwa bahati mbaya. Hebu tujiulize leo hii dunia ikiwa salama zile silaha zitauzwa wapi! Upo ushahidi mwingi khs Afganistan, Iraq, Angola nk jinsi ya nchi hizi zilivyopartiipate kuanzisha vita. Sasa mnataka wananchi wabweteke? Kumbuka; approaches za Tanzania haziwezi kuwa replicated kila sehem like wise western approaches
Mkuu, aliweza urusi tu hiyo soo... wamarekani hawawezi kabisa
Mpungufu wa kufikiri kama hukuyategemea haya na hupo katika hali ya kutegemea zaidi ya haya, mpaka hapo haki itakaposimama na Sharia kutawala katika ardhi za waislamu. Safari bado ndefu na itakuwa na ups and downs kwa pande zote mbili.
Makafiri hawana wanalojidanganyia zaidi ya maguvu na sophistication ya masilaha yao na vizabizabina (vibaraka ) wao katika matayarisho wa ujio wa kiongozi wao Masiihu Ddajjaal (anti Christ) na kwa waumini hawana wanaemtegemea zaidi ya Allah, Subhaanahu waTaala. Na Isa bin Maryam (Yesu, Jesus) atakaposhuka jambo la kwanza atalofanya ni kuteketeza na kuisafisha dunia na misalaba.
Makafiri lengo lao ni starehe na fasada za dunia, hivyo ndio maana wanahofu saana kufa, ni kuukosa uhondo wa dunia, wanajidai maneno tuuuu lakini katu hawatouweza mkorogo waliouanzisha duniani kwa muda mrefu, na Waumini lengo lao ni pepo ya Mwenyezi Mungu (SW) na jambo la kupinga udhalimu katika ardhi zao ni sacred endevor, na kifo katika njia hiyo ni shahada kama ilivyo ya uzamili katika descipline husika.
Makafiir wanapanga na Allah anapanga, na kwa hakika m-bora katika mipango ni Allah (SW), inaweza kwenda namna hii kwa muda mrefu, kwa mfano katika mwaka itakuwa 20 battles kwa makafiri, lakini cha ajabu inawaongezea imani na nguvu waumini na kusafisha kundi lao kutokana na wanafiki wasio na subira, na only 2 battles kwa waumini with devastating blows kwa unbelievers, yaani ndugu yangu Abdulhalim, mwishowe ushindi ni kwa wenye kuamini. That is absolute sure, hebu analyse mambo sawasawa !!!
Abdulhalim, bado hujajua tu dunia inaelekea wapi????? uliyategemea wewe haya leo wakati vita hii iilipoanza???. Je umeshajiandaa na ya kesho na keshokutwa, nasiki superpower anapeleka wengine 37,000, kulikoni????. Kutegemea more suprises sio kusupport ugaidi bali ni ku-analyse tu matokeo ya mambo ulimwenguni sawasawa na kupanga tu hesabu zako vizuri. Mbili na mbili wakati wote ni nne si vyengine. Na Isa bin Maryam hawezi kuwa Mungu, mtoto wa Mungu na hapo hapo akawa binadamu (Mtume na Nabii wa Mungu). Make your pick ndugu yangu, usijichanganye. Hakuwa Isa (Yesu) ila ni binadamu (Mtume na Nabii wa Mwenyezi Mungu) na kwa hakika wamepita Mitume wengi kama yeye kabla yake. Mithili yake mbele ya Mwenyezi Mungu ni kama Adam, kaumbawa na Allah kutokana na udongo, kisha Allah akasema "kuwa" na akawa. Kama yeye hana baba tu, basi Adam hana baba wala hana mama, nani basi ange-deserve more divinity??? Silimu usalimike ndugu yangu.
2O Taliban... just twenty...! agaist government! Very strange.
Not against the Government, but against humanity!
Who is Human... satanic American Government... with their puppets!?Not against the Government, but against humanity!