Ikowapi Marcon Kits

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
Iko wpi ile kampuni ya Marcon Kits ambayo inasemakana iliingia mkataba na Yanga wa kutengeneza vifaa vya michezo kwa thamani ya milioni 932 kwa mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga kuna siku wanavaa jezi zenye alama ya Nike na huwa najiuliza wale ni Nike kweli au mchina tu ameamua kuwafyatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…