Iko wapi ile ndege ya Malaysia MH370?

Iko wapi ile ndege ya Malaysia MH370?

Umejitahidi kutuaminisha ...ila kutuaminisha kuwa 777 inagawanyika kwa 11 NI UONGO MKUBWA....try another time.
 
Umejitahidi kutuaminisha ...ila kutuaminisha kuwa 777 inagawanyika kwa 11 NI UONGO MKUBWA....try another time.
Akilijibu ni tag pls.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Mm najibu maswali yaa mleta madaa hii km ifuatavyo.



1.kilaa ndege ina kitufe cha kubonyeza isionekane kwa rada.Ndio maana wakaguz wanatilia shakaa kwamba ruban alihuska kuipoteza ndege kwan kwa lap top yake waligundua alikuwa ameachana na mkewe soon.

2.kuhusu simu kuita n kwel is posbo inaweza kutokea hvo ndege ikiwa angan lkn .kwa kesi ya 9/11 wanasayansi wamekataa kwamba mtu hawez ku make calls or receiving calls kwa ndege iliyo beyond futi 3000 .

Sasa if kuna calls mtoa mada anazodai zlifanyika bas ndege hyo possibly ilikuwaa ina fall down au iliaza kutembea ktk low altitude ikiwa tayari imepata turbulence.

3.kuna mabaki ya ndege yameweza kupatkana sehem mbalimbal dunia hususan Tanzania kupata bawa kubwaa ambaloo lilifanyiwaa uchunguz na ikasibitishwaa ni la Malaysia airline .

So possibly destination yake ni ikawa Indian ocean.

4.kuhuska kwa aliens also n hypothesis ingne some people wanasema hvoo but ss watalam tunasema ndege ile ilitumbukia baharin in deep sea inside ocean floor.
 
hebu gawanya 777 kwa namba zako uje upate 11. ujinger kabisa. hapa ulishindwa kulazimisha. hiyo namba haigawanyiki kwa 11 ikaisha. so ume fail tena na umedanganya umma.

Mimi binafsi nililitilia shaka suala zima la ndege ya Malaysia kutoweka angani na isipatikane kokote kwenye uso wa dunia mpaka hivi leo, bado nalitia mashaka suala hilo kwamba halina ukweli wowote ndani yake, bali ni moja kati ya filamu zao nyingi wanazo ziigiza ilikuendelea kuulaghai umma, lakini zaidi mimi naona ni hayo niMAANDALIZI YA KUMTAFUTA ADUI MPYA ATAKAYE CHUKUA NAFASI YA ‘VITA DHIDI YA UGAIDI’. huu ni uongo mbaya sana ambao kama usipotubu utaingia motoni ikiwa una imani . ila kama si hivyo basi sisi wenye akili ngoja tukwambie. unadhan faida ya hili ni nini? na unakumbuka imepotea lini? na wewe ni nani kuwa eti ulitilia mashaka? haya uliyoyaandika umetafsiri toka kwa watu hujaweka chanzo ila umeamua kujifanya umewaza wewe na unathubutu kusema eti unalitilia mashaka jambo hili.



Kaa vizuri hapo
f0ccc52c9270d66138f88badb143e24f.jpg


Kwa kuanzia tu, tuitazame moja ya nambari kuu zinazo pendelewa kutumiwa kishetani na Illuminanti, nambari 11

Wakati ndege hiyo ya Malaysia ikipotea ndani yake kuliwa na abiria 227, nambari hiyo ni sawa na 2+2+7=11, ndege yenyewe ni Boeing 777 nambari inayogawika kwa 11
. hizi hesabu hata wangekuwa 236 ukitaka ipatikane 11 inapatikana hata wangekuwa 200 ungetaka ipatinae 11 ingepatikana. kuna uwiano gani wa hizo namba kujulimsha kwa 2+2+7=11 na si vingine? acha kuleta habari za kinafiki na kulazimisha uongoa kama ambavyo unapoona article una kariri na kuja ipost huku.


Ndege hiyo ya Malaysia ilipatwa na ‘ugonjwa’ kama ule uliozipata ndege za 9/11 ambayo tunajua kuwa tukio lile lilifanywa na utawala wa Bush mwenyewe
. ( weka uthibitisho, mnajua , mnajuaje? ikiwa al qaida walikubali nwa waliofanya tukio kukamatwa? ni zile zile story za kwenye kahawa)


1. Ndege hiyo ya Malaysia ilipoteza mawasiliano kama zilivyokuwa ndege za 9/11. Masaa mawili baada ya ndege hiyo kuondoka ilipoteza mawasiliano kabisa na kitengo cha anga ambacho ndicho kilicho kuwa na dhamana ya kuiongoza ndege hiyo. zipo ndege nyingi tu hupoteza mawasaliano na wakati mwingine zikatua salama.
unajua hali ya hewa inavyokuwa? kuna meli ilipoteza mawasiliano hapa tanzania 1999 ikaja kufika zanzibar salama sababu ilichukuliwa tu na mkondo wa maji ikarudi kukaa sawa.

2. Ndege hiyo iliacha njia yake ya safari kama ilivyokuwa kwenye 9/11. Ndege hiyo ya Malaysia ikaendelea kusafiri maelfu ya maili nje ya njia yake iliyopaswa kupita bila hata ya kutuma taarifa za tahadhari na msaada kwenye kituo chochote cha kuongezea ndege na kisha ‘ikatoweka’ kama mazingaombwe vile
. kama hakukuwa na mawasiliano wangetuma kwa njia gani? ya barua?

3. Ndege hiyo ikapotea kabisa na isionekane kama zilivyo potea ndege iliyo gonga Pentagon na ile ya Pennsylvania kwenye tukio hilo la 9/11
. unasemaje zilipotea wakati zilienda kugonga hayo majengo? unajua unachoandika?


4. Kama ilivyokuwa kwenye 9/11, kwenye ndege ya Malaysia nako abiria simu zao zilikuwa hewani!!!!!

Kila mtu anajiuliza ni nini hicho? Ndugu na jamaa wa abiria kwenye ndege iliyo potea wamethibitisha kusikia milio ya simu walipojaribu kuwapigia wapendwa wao. Na pia baadhi ya kurasa za fecebook za abiria hao zimeonesha kuwa wapo ‘online. maana yake ni kuwa kama hata ilianguka sehemu basi simu zao zilikuwa bado zipo hewani kama ingetekwa watekaji haraka wangechukua simu zote toka kwa abiria wasingekuwa wapuuzi wazembe wachie simu abiria


3963035edb18bfa87a009aaac3a2d66c.jpg



Shirika hilo la ndege la Malaysia limethibitisha pia simu ya mhudumu aliyekuwepo kwenye ndege hiyo nayo iliita tu bila kupokelewa na mtu yeyote mpaka ikakata kama zilivyo fanya simu 19 za abiria walio kuwepo kwenye ndege hiyo baada ya kupigia na ndugu na jamaa. Hayo yalisemwa na msemaji wa shirika hilo bwana Hugh Dunleavy.

Lakini pia hadithi ya simu za abiria na ile ya muhudumu kuita inatupatia mwanga wa jambo moja, kwamba ndege hiyo haipo ndani wala chini ya bahari! Simu haiwezi kuita kama ipo ndani ya maji, lakini zaidi simu hiyo lazima iwepo karibu na mnara wa simu, ambao tunajua hauwezi ukawepo chini ya bahari isipokuwa aridhini.

5. Kama ilivyokuwa kwenye 9/11 hapa napo kwenye ndege ya Malaysia mapema kabisa Illuminanti walianza kutoa dondoo za tukio zima takribani miaka minne kabla. Tizama picha hii inayofuata na linganisha na tukio lenyewe kisha kuna kichwa na kujiuliza ikiwa tangazo kwenye picha hiyo limetokea kwa bahati mbaya?




Tunapoendelea kulitolea macho suala hili, tunayo maswali ya msingi ya kujiuliza, kumbukua hapa tunazungumzia ndege kubwa aina ya Boeng, ndege ya kisasa kabisa, ndege hii haijalipuka, haijaanguka mahala kokote, si nchi kavu si baharini, imetoweka ghafla, narudia tena IMETOWEKA GHAFLA ikiwa angani, na haijapatikana mpaka hivi leo.


Vipi kama vile MUVI linajirudia ...?

Vipi wanataka kututengenezea Spetemba Ileveni nyingine au? hiyo september 11 mpaka leo haijatengenezwa unadhan ina mashiko? kwa hiyo bado ndege inazunguka hewani? hapa si unatumia akili za darasa la 2 tu kugundua kuwa umelishwa matango pori?


Swali # 1

Ndege zote aina ya Boeing 777 zimetengenezwa pamoja na ‘Black Box’ ambayo inaweza kuhimili mlipuko wa aina yeyote ule utakaoipata ndege hizo. Kisanduku hicho kinabeba taarifa zote muhimu yakiwemo mawasiliano ya hatua kwa hatua tangi ndege inapotokea mpaka inapo elekea.

Swali linakuja NI VIPI KIBOKSI HICHO KIMESHINDWA KUTUELEKEZA WAPI NDEGE ILIPO? box huwa linaelezea ndege ilipo? kweli? we una akili au unafikiriaje
? black box kazi yake ni ku record taarifa zote za mawasiliano ya ndani ya ndege. na kama ndege haijapatikana black box imepatikana wapi?


Swali # 2

Black Box zote zinayo uwezo wa kuendelea kusafirisha mawasiliano na kutambua wapo kilipo hata kwa muda wa siku 30 hata kama ndege ikiwa imezama baharini.

Swali linakuja ni kitu gani hicho kilicho zima ‘signal’ ya kisanduku hicho kiasi kwamba shughuli za kuipata ndege yetu zimekuwa ni ndoto. Tunajua ndege hiyo haijawaka moto wala kuzama baharini, sababu simu za abiri na wafanyakazi wa ndege zilikuwa zikiita kila zinapo pigwa. Sasa inakuwaje simu zinaweza kuendelea kuleta mawasiliano lakini kisanduku cheusi kipoteze mawasiliano kabisa?


Swali # 3

Ndege inapokuwa imepotelea baharini, mara zote kuna sehemu na mapande ya ndege hizo yataonekana yakielea baharini.

Kama ndege ya Malaysia ingekuwa imetungulia na kushushwa chini basi vipande lazima vingeonekana vikielea baharini, lakini viko wapi vipande hivyo? Ndege ya Boeing 777, imetoweka ghafla kwenye uso wa dunia, IMETOWEKA, ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.


Swali # 4

Mahala ambapo ndege hiyo ‘imepotelea’ panafahamika. Waongozaji wa ndege wanakuwa taarifa zote za ndege husika, kumbuka wao ndiyo waongozaji, hivyo nukta ambayo ndege inakata mawasiliano na wao wanakuwa wanafahamu ilikuwa eneo gani, ilikuwa kwenye mwendo kasi wa aina gani, vyote hivyo vinaweza kutumika kuelekeza ni wapi mapande ya ndege hiyo yanaweza kuwa yameangukia. Lakini ni vipi ndege hii ya Malaysia imeshindwa kupatikana chochote pamoja na kwamba inafahamika ni wapi nukta ya mwisho ilionekana kwenye rada?

1f065704f1b492fc3eb8da0e0fa1b115.jpg


Swali #5



Tuseme Ndege 370 ya Malaysia imetekwa, lakini ndege haipotei kwenye rada hata kama ikitekwa. Sasa inakuwaje ipotee hata kwenye rada isionekane?


Ndege nambari 370 ya Malaysia aina ya Boing 777 HAIJALIPUKA, HAIJANGUKA KOKOTE, ILA IMETOWEKA?



HOW?


TUKUTANE TENA HAPA TO FIND THE HOW ...



Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Tolea ufafanuzi zaidi
Wakati wa vita kuu ya pili, mwaka 1945, ndege na manowari nyingi za kivita za USA, na za JAPAN, zilizama au kupotea katika eneo hili linaloitwa Dragon's triangle ambamo liko maili 70 kutoka pwani ya mashariki ya Japan, na maili 300 kuelekea kisiwa kidogo kiitwacho wake island., na maili 750 kutoka katika pwani ya Philippines. Eneo hili, ni pana zaidi ya lile la Bermuda na ni la hatari zaidi kuliko Bermuda. Triangle hii hubadilika badilika hata kufikia pwani ya nchi ya China. Eneo hili, kama ilivyo Bermuda triangle, Alien UFO zimekuwa zikionekana zikitokea baharini na kupotelea outer space. Ndege ya Malaysia, iliingia katika dimension tofauti na ile tunayoishi sisi kupitia Dragon's triangle. Ndege hiyo, ipo hapa duniani Lakini katika dimension au "plane" tofauti na tunayoishi wewe na Mimi,(dimension au plane of reality). Kwa mfano, wewe na Mimi, tunaishi pamoja viumbe visivyoonekana kwa macho kama vile Ghosts, na Demons, lakini tuko katika plane tofauti ndiyo maana hatuwaoni, na wao hawatuoni. Hutokea, Mara chache tukaingiliana katika dimensions zetu na kuwaona. Mawimbi ya redio, au signal yoyote kama vile ya simu, inaweza kusafiri katika dimensions hizi bila tatizo. Ndiyo maana simu za wahanga zilikuwa zinaita bila kupokelewa. Maana yake ni kuwa, "mwenye simu amesafiri katika " time"(time travel),hawezi kupokea simu inayoita ambaye haisikii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wa vita kuu ya pili, mwaka 1945, ndege na manowari nyingi za kivita za USA, na za JAPAN, zilizama au kupotea katika eneo hili linaloitwa Dragon's triangle ambamo liko maili 70 kutoka pwani ya mashariki ya Japan, na maili 300 kuelekea kisiwa kidogo kiitwacho wake island., na maili 750 kutoka katika pwani ya Philippines. Eneo hili, ni pana zaidi ya lile la Bermuda na ni la hatari zaidi kuliko Bermuda. Triangle hii hubadilika badilika hata kufikia pwani ya nchi ya China. Eneo hili, kama ilivyo Bermuda triangle, Alien UFO zimekuwa zikionekana zikitokea baharini na kupotelea outer space. Ndege ya Malaysia, iliingia katika dimension tofauti na ile tunayoishi sisi kupitia Dragon's triangle. Ndege hiyo, ipo hapa duniani Lakini katika dimension au "plane" tofauti na tunayoishi wewe na Mimi,(dimension au plane of reality). Kwa mfano, wewe na Mimi, tunaishi pamoja viumbe visivyoonekana kwa macho kama vile Ghosts, na Demons, lakini tuko katika plane tofauti ndiyo maana hatuwaoni, na wao hawatuoni. Hutokea, Mara chache tukaingiliana katika dimensions zetu na kuwaona. Mawimbi ya redio, au signal yoyote kama vile ya simu, inaweza kusafiri katika dimensions hizi bila tatizo. Ndiyo maana simu za wahanga zilikuwa zinaita bila kupokelewa. Maana yake ni kuwa, "mwenye simu amesafiri katika " time"(time travel),hawezi kupokea simu inayoita ambaye haisikii.

Sent using Jamii Forums mobile app


Maelezo yako yanaeleweka hayaeleweki
 
•Kwanza 777 haigawanyiki kwa 11
•Sidhani kama wao ni wajinga waiteke ndege afu wasizime simu
 
Back
Top Bottom