Ikizidi inakeraaaaaaaa

wanawake wengi wanajiuza,sema tu hawajipangi pale buguruni

ahsante kwa kunikumbusha kuwa mamayako,
dada zako,
shangazi zako,
bibi zako,
mama zako wadongo,
mama zako wakubwa
demu wako/mke wako
mama mkwe wako
shemeji zako
kuwa wote wanajiuza
 

swala si kumaliza game ndo unipe hela
unajua maana ya kumtunza na kumjali mwanamke wewe??
Kwa taarifa yako hakuna mwanamke anayependa baada ya game apewe hela ila ikitokea unapokea
swala ni kuwa unamjali vip?hizo hela unampaje?ina maana we ukiwa na hela humpi koloni lako?
Jamani halafu mkigongewa na watu wanaotoa hela mnaleta midomo
mnakuja hapa kulalamika
 
Relationship nyingi za siku hizi 90% maslahi na 10% mapenzi
 

Nimekupenda bureee aisee...,a kweli wabadilike aisee wanakimbia sana majukumu yao wanaume ndo maana wanawake wengi wanakua na njia nyingi...yaan siku hizi ni wachache mno wanaojua majukumu yao kikamilifuuuu...
 
To me naona kama mnapendana sioni sababu ya kupewa pesa as utakuwa unaenjoy mahusiano (labda akupe kwa hiar sio kudai dai kila saa).

Hiyo ya kutaka kupewa kisa mme do hailipi kabisaaa kwani umemwuzia?? By the way.. Utu wako ni wa thamani sana hauwezi kufananishwa na fedha.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Haha hahahaaa a...but lara1 hapa unatudanganya bana..m uwiii iiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…