Ikizidi inakeraaaaaaaa

kwani aliyemuanza mwenzie nani mwenye shida si wewe lazima uliwe tu!
hivi hata kama mimi ndo nimekuanza mkiwa kwenye sita kwa sita nani anakuwaga na kazi kubwa? nani anayechoka!? nani anayepoteza nguvu nyingi!?
 
hili suala mbona linakuwa serious sana kwa wanawake siku hizi!
yaani mnapenda kuhongwa ,mnapenda kupewa ,mnapenda kutuzwa kitamthilia tamthilia......bado dushulele mnahitaji msuguliwe sana tena kila siku kwa masaa mengi tu mwanaume huyo huyo ndiyo mnataka naye haki sawa.
Hebu rudini mkafundwe mkishaiva ndiyo mtaishi kihalisia.
mwanaume wa kweli ni yule anayetimiza wajibu wake...(na wajibu siyo kuhonga)
mwanamke wa kweli ni yule anayetimiza wajibu wake....(na wajibu wake siyo kuwa tegemezi)
maisha ni kupanga ,kuchagua na kusaidia kwa hali na mali na mwezi wako kila mmoja afikie malengo yake.
 

sasa jamaa mbona hatangazi ndoa?? wadada kama nyie mmebaki wachache wengi ni kama akina Lara 1 sindano kwa kwenda mbele
 
Nini!!! ahadi!!! ukimdhulumu akashtaki wapi?

hahaha so wewe wataka nikupe kabla ya kukugegeda? hapo napo utasema oh umeniona mie dada poa!! hamtabiriki nyie ndio maana mie nikajipeleka kwa dada poa toka zamani...drama nyingi dada zetu....punguzeni tafadhali
 
Hahaaaa... Nimecheka mpaka basi! Ina maana huwa inachakaa? Tujitahidi kuchangia uchakavu meeeeen!
 
Hahaaaa... Nimecheka mpaka basi! Ina maana huwa inachakaa? Tujitahidi kuchangia uchakavu meeeeen!
 

ulinyimwa nini mwanamama wewe...
 
Kwa staili hii ni kuzisaka pesa kwa bidii tu, ukiwa na pesa wanawake wanajileta wenyewe, hapo ni kugonga na kuwaacha kapa, akisepa mwingine anakuja nae unagonga anaondoka kapa. Raha tupate wote wao watake malipo! awapii!!
 
This thinking is not right...:nimekataa
Sio tamaduni za kiafrika kabisa
Sema tu ni makubaliano yenu.
 
Huyu ndiyo mwanamke wa mfano tunaposema suala la usawa wa kijinsia haliwezekani wengine mnabisha. Starehe mle wote kwanini udai kupewa? Uanaume kwani ni kutoa hela kwako baada ya mambo yenu? Badilikeni mjikomboa ikiwezekana mujiunge na biashara kongwe kuliko zote duniani.
 
Mhh! OK! Si mnasema wanaboa waige utamaduni wa wazungu?
 
Mapenzi ya namna hiyo ndio mimi sipendi, mwanamke anakuja kwako ili kupata huduma tu na sio mapenzi, material girls, i dont like it.

mwenyewe unajiona bonge la mwanaume eeeee
embu Boflo njoo umpe technic kijana mwenzio
 
Last edited by a moderator:
unachosema sawa ila usidai it should come natural

hilo nalo neno na mwanamke ukiona unagegedwa hupewi matunzo jiulize mara mbili kunani??
We hupewi mwenzio anapewa laki 2 kila wiki
hapo jisogeze pembeni kama ulishajiongeza lakini hukufanikiwa
tena ukifanya mchezo atakulilia shida ana matatizo hela anaenda kumpa mwenzio!!
Chezea hawa viumbe wanaopumua sehemu 2 juu na chini
 

kiukweli kabisa nilikuwa nasoma page moja moja kutafuta comment yako
kama nakuona wakat unaandika hapa
lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…