Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,321
hahaha...hapo balaa tupu...so kwa kuwa k inamegwa basi ndio tukusaidie kuiweka in prestine condition? siktai hela ya mwanaume uliwa na mwanamke ila sasa mbona mnakataaga pale kidume akikuomba bupa na kukuhaidi fedha?
na pia ukumbuke mkiwa hivyo basi wanaume tutatumia hela kukugegeda na kusepa...sii umejiweka kibiashara bwana.
Kama uko serious unataka kutolewa na mwanamke niPM. Ila uwe tayari kuhimili adha za kutolewa na mwanamke.hivi ule usawa wa jinsia umeenda wapi!? nyie si mnataka usawa!? mimi nategemea katika usawa huo muwe mnatutoa na sisi!
hahahahhaa ahaa si unaona wewe mwenyewe una- declare kuwa nyie mkitutoa kunakuwa na adha!? Mbona sisi huwana hatuna shida tunatoa kiroho safi!!?Kama uko serious unataka kutolewa na mwanamke niPM. Ila uwe tayari kuhimili adha za kutolewa na mwanamke.
Pole shostiii! Ndo ujifunze kuwa na kismati cha kugonga migodi! Inatakiwa ukigusa tu mgodi! Hawa pasua vichwa mimi nao stori tu kula wakale kwa mademu wao wa uswaziii au wowote wale wasiojua hazina waliyonayo!
Unigegede bureeeeee! Thubutuuuuuuu!
Tusemage ukweli tu mwanaume asiekupa pesa ni mzigooooo tena wa miiiba haubebeki!
hahahahhaa ahaa si unaona wewe mwenyewe una- declare kuwa nyie mkitutoa kunakuwa na adha!? Mbona sisi huwana hatuna shida tunatoa kiroho safi!!?
hahhahahahaha nature ndo hivyo, basi hata usawa wa kijinsia hakuna coz of naturehamna shida coz its nature jamani, mutowe tu kwa raha zenu,
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.
Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????
Badilikeni wanaume,.
hahhahahahaha nature ndo hivyo, basi hata usawa wa kijinsia hakuna coz of nature
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.
Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????
Badilikeni wanaume,.
Ndo maana kila siku wanakuacha na kwenda kwa migodi Yao,wanawake sasa hivi hakuna asiependa hela,atajikausha tu kwako moyoni ukweli anaujuaMADEMU wengi wao wa USWAHILINI hizo ndio Kasumba zao, Wanataka Mkishamaliza Game tuu, Umtoe Mshiko lakini MADEMU WETU WA USHUANI wala Tena unaweza ukashangaa Unawekea CHENJI MAITI(U$100) kwa JEANS Unaenda kuikuta Mbele, wanakutxt Take it Easy, Hayo Ndio Maisha, Kama Ni mwanamke wa Kuombaomba Hela Sitaki Kabisa hao kwanza wanatia NUKSI kweli
mwanaume kua bahiri ndo sababu ya wanawake wengi kua na vidum nje ya ndoa