Heshima hela shikamooo kelele tu! UMESAHAU LAKI SI PESA! MAANA KUNA WENGINE WANATOA LAKIasante sana lara 1 maana leo hii mijanaume imeguswa wallet zao wanapiga makelele. Mbona zile post za Natalia mnakuja mbio na kushabikia?? Leo hela mnarukaaaa futi mia!
Heshima hela shikamooo kelele tu.
mi siombi hela ya mtu nitaishi kwa uwezo wangu nikikosa hela ya kusuka nanyoa,nikikosa kiatu natembea peku akitaka anisaidie tu mwenyewe
WANAUME WENYEWE WA SIKU HIZI WANAPIGA MIZINGA ,UKISALIMIKA KUOMBWA HELA WEWE SHUKURU...TUTABANANA HIVOHIVO
SASA SHOSTI LARA NIKOPESHE LAKI 3 NINA SARE YA HARUSI NATAKA KWENDA KUNUNUA PALE QUALITY KWA AMINA DESIGN JAMANI
tehe tehe tehe, nitakubebaje ukiniletea hela saa hizi? Usingizi kwisha! lol
Hahahaaaaaa! laki tatu yote hiyoooo, nenda AMINA DESIGN YA KARIAKOO bei inapungua nusu kwa mali ileile!!!!!!!! Acha usharo wa kununulia quality center! Mgodi wangu uko Uturuki aiseee! Hapa nilipo nakuna kichwa hizi sikukuu zijazo sijui itakuwaje!
Smile ndugu yangu wewe bado sanaaaaaa! Hii mijambawazi usipoiwezea kuitight by the balls hupati kitu kabisaaaaa! Dawa yao ni kugrab them by the balls and grab them tightly tena sio kwa mikono kwa SPANA au PRISE kabisaaaa!
Dear hawa viumbe hawana jemaaaa! omba hela usiombe haibadilishi view yake juu yako! Wewe jibanee ndo kwanza anafurahi demu jinga kabisaaa yule, simhudumii hata mia na namgegeda kila nikijiskia!!!!! Afu ukiwa unampa bure shosti hakuachii hata akikuchoka aje! Cha bure kitamu atiiiii! Atakuplay mpaka siku anaoa!!!!
Ila demu Kubwa la Maadui zinga la bili ya expenses, akikuchoka kidogo tu lazima akupe redundacy! Wanaume kutokutulia ni tabia tuuuu! Mwengine wewe unampa hela anaenda kuhonga! Upo hapo?
Kuchukua hela simuuzii ila ananitunza koz alinikuta nangaa kwa kutunzwa na wenzie! Habari ndo hiyo!
Sasa wewe jifanye Mama Teresa uone habari yako!
tena wa makaa ya maweMgodi!!!
mgodi wako unatema lini jamani ? unipe hata nusuHahahaaaaaa! laki tatu yote hiyoooo, nenda AMINA DESIGN YA KARIAKOO bei inapungua nusu kwa mali ileile!!!!!!!! Acha usharo wa kununulia quality center! Mgodi wangu uko Uturuki aiseee! Hapa nilipo nakuna kichwa hizi sikukuu zijazo sijui itakuwaje!
hahahahahahhahahahhahahaaa maji yakizidi mtavikana vyote! sasa umeanza kukana swala la cash! nilikuwa sijui kumbe mfumo dume bado ndo una mamlaka ya ku-supervise cash flow!wanachopigania wanawake ni haki sawa haki ya elimi, malazi, chakula, ajira na etc. na si unavyofikiria kama ni usawa unaofikiria wewe si mngeambiwa mzae lakini si huo wanachotaka ni haki
asante sana lara 1 maana leo hii mijanaume imeguswa wallet zao wanapiga makelele. Mbona zile post za Natalia mnakuja mbio na kushabikia?? Leo hela mnarukaaaa futi mia!
Heshima hela shikamooo kelele tu.
Mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.
Kwa kweli kabisaaa Haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????
Badilikeni wanaume,.
hahahahahahhahahahhahahaaa maji yakizidi mtavikana vyote! sasa umeanza kukana swala la cash! nilikuwa sijui kumbe mfumo dume bado ndo una mamlaka ya ku-supervise cash flow!
Yaani nyie na kelele zenu za usawa mnajifurahisha tu! usawa haupo hata siku moja
Pole shostiii! Ndo ujifunze kuwa na kismati cha kugonga migodi! Inatakiwa ukigusa tu mgodi! Hawa pasua vichwa mimi nao stori tu kula wakale kwa mademu wao wa uswaziii au wowote wale wasiojua hazina waliyonayo!
Unigegede bureeeeee! Thubutuuuuuuu!
Tusemage ukweli tu mwanaume asiekupa pesa ni mzigooooo tena wa miiiba haubebeki!
huduma ntunapata ila hata wanawake si mnapata huduma.haki sawa nusu kwa nusu hadi kufikia 2020.mpo humu ndani???shikamooni wote kwa ujumla wenu.
Kwa kweli kabisaaa haipendezi kabisa mwanaume kuwa bahili kwa galfriend/mchumba/au mke wake. Hata kama tunasaidiana lakini mwanaume lazima uoneshe ule uanaume wako wa kuwajibika na kutimiza majukumu kama ilivyo kwa tamaduni za muafrika. Kama huduma unapata kwanini usimhudumie na yeye na pia umpendezeshe??? Unaondoka shuhulini hata hela ya uchakavu hutoi? Atafua na nini, unatakaa anukie unadfikiri ni nani wa kumpatia hivyo vipodozi?????
Badilikeni wanaume,.
kama unagegedwa kwa malipo basi hapo kigegedo chako unakiuza ama sielewi!
kusaidiana kupo ila sio kisa umegegedwa ndo upewe hela.usiogope shida kiiivo! mimi kuna siku nilitoka na mpenziwangu akaniacha mwenge nilikuwa sina nauli nilikuwa na plan niingie atm pale kumbe wallet niliokuwa nayo nilichange so haiikuwa na card wala sikumpigia wala nini hata niwe na shida ya kufa sitokaa niombe hela ya mtu niliacha zamani hiyo tabia
kama hawezi kunipa mwenyewe basi ,ni kweli hela ya mwanaume ni tamu lakini sio lazima kwenye mahusiano! kwanza wanaume wanaototoa hela hawajatulia wanafanya hela ni defence mechanism yao !
Nitafute mimi, fanya booking mapema kabla ya Ijumaa!Hahahaaaaaa! laki tatu yote hiyoooo, nenda AMINA DESIGN YA KARIAKOO bei inapungua nusu kwa mali ileile!!!!!!!! Acha usharo wa kununulia quality center! Mgodi wangu uko Uturuki aiseee! Hapa nilipo nakuna kichwa hizi sikukuu zijazo sijui itakuwaje!