Mkuu haya mambo ya soka naona kama uchizi kwa sababu kuna watu wa aina tatu ya kwanza ni mpenzi tu na hana mchango wa aina yoyote zaidi ya makelele matusi na kupenda misifa basi na la tatu ni wanachama wa kadi na hawa ndio hutoa msaada wa kila aina au hali na mali ili kufanikisha ushindi unapatikana na hawa huwa hana muda wa kuchunguza ile misaada yao tena mikubwa lakini ikiwa hakuna ushindi basi hapo tena huwa hakuna cha msalie mtume hapo tena ni kutoka tu tena kwa bakora na mawe au mahakamani na tena washakuwa matajiri hao viongozi hapo tena waana anza tena upya ina maana masilai ya mpira ni viongozi tuuu basi
Lakini umeona jinsi vijana wa Man U jana walivyocheza mpira wa kasi mwanzo mwisho? Kwani Moyes alikuwa anashindwa nini kuwafanya wachezaji wacheze mpira wa kasi!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.