Bro hapo unachemka... Kuishi nao kwa Akili Ni Sababu Ni viumbe Dhaifu Sana.. Hivyo Bila Kutumia akili unaweza kumsababishia madhara au wewe Mwenyewe kujipatia madhara... Kama unasoma Bible vizuri utakubaliana na Mimi kuwa Biblia imelalia zaidi kuwaonya Wanaume.. Ndo maana hata ukizini na Mke wa Mtu Biblia inasema utakuwa na Hatia..Wanawake wana akili sana. Ndio maana Biblia inasema tuishi nao kwa akili. Huwezi kuishi kwa akili na Mtu asiye na akili.