Ikiwa Mwanamke ana sifa hizi 10 haupaswi kumuacha aende

Asikudanyanye mtu hakuna mwanamke anaweza mzidi akili mwanaume. Never! Kwa wale wanaoishi nao watanielewa ila kwa Vijana wanaoota ndoto km huyu mtoa mada hawatanielewa kabisa.
Wanawake wana akili sana. Ndio maana Biblia inasema tuishi nao kwa akili. Huwezi kuishi kwa akili na Mtu asiye na akili.
 
Haya Mambo bhana unaweza ukawa navyo hivyo kwa S ila kwa M ukawa asha ngedere, kwahiyo inategemeana
 
Mwanamke akiwa na sifa zote hizi akiamua kuondoka usimzuie!
Asee wewe jamaa unafikiria mbali.

Ni kweli mwanamke mwenye sifa hizo ni kama risasi ndani ya bunduki,
Akiwa nawe atakupa ulinzi lakini akisema naondoka ukamzuhia, hiyo risasi inaenda kukuuwa wewe.
 
Asee wewe jamaa unafikiria mbali.

Ni kweli mwanamke mwenye sifa hizo ni kama risasi ndani ya bunduki,
Akiwa nawe atakupa ulinzi lakini akisema naondoka ukamzuhia, hiyo risasi inaenda kukuuwa wewe.
Naam Mkuu

Kadri tunavyowajazia sifa hawa viumbe tunajipata mahali pa hatari sana! Kufa ama kupona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom