Ikiwa Leo ni Siku ya Mwisho Kutumia Viroba, Bidhaa hiyo Bado inapatikana kwa wingi

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,819
Leo ni siku ya mwisho kwa sisi tusiokua na Pesa za Kununua bia kwa Tsh 2500/= hivyo tulikua tunatumia Viroba kupata Hali ile ile atayeipata Mtu atakayekunnywa Bia tatu na Mimi nikinywa Viroba Vitatu.

Ila mzigo unaonekana Bado mwingi sana ile Unsold stock ambayo wapiga Marufuku hawajaiona.

Mi Niko napiga Viroba vyangu hapa.

cb83ed05a545fd6b99c78881e09628f9.jpg
 
Kama imethibitika kweli viroba vina madhara makubwa , basi kusiwepo na muda wa nyongeza kwani kuongeza muda ili wenye stock wamalize ni kuhalalisha jambo liualo nguvu kazi ya taifa!

Ila sio kesi, sisi shangazi anatengeneza ile original inaitwa number one tunajisevia maana vifungashio vyake ni chupa zile zinazokuja na soda baada ya matumizi!
Karibuni kwetu!
 
Kwanini serikali isinunue stock iliyobaki ikaiteketeza? Maana hao wafanyabiashara hawakuipata bure walinunua..Na serikali ilipata kodi yake.Haikua pombe haramu kama gongo, ilikuwa halali iliyoruhusiwa na mamlaka za serikali kuzalishwa na kusambazwa.Nadhani ingekuwa busara serikali kubeba hii hasara
 
Leo ni siku ya mwisho kwa sisi tusiokua na Pesa za Kununua bia kwa Tsh 2500/= hivyo tulikua tunatumia Viroba kupata Hali ile ile atayeipata Mtu atakayekunnywa Bia tatu na Mimi nikinywa Viroba Vitatu.

Ila mzigo unaonekana Bado mwingi sana ile Unsold stock ambayo wapiga Marufuku hawajaiona.

Mi Niko napiga Viroba vyangu hapa.

cb83ed05a545fd6b99c78881e09628f9.jpg

Mkuu, vikate hamishia kwenye chupa utauza!(in Marie Antoinette voice)
 
Wengine tuna stock tani na tani!
Najua magendo yatakwepo!
Na polisi watapiga sana hela ya kuyakamata Magendo!
Twende kazi!
 
Yeah kama Bangi imekatazwa lakini bado ipo na tunavuta Viroba navyo vitakuepo ila vitapanda bei
kwa nini serikali isikate huo mrija wa viroba huko inakozalishwa,badala yake wanahangaikia tu huku mtaani
 
Kwanini serikali isinunue stock iliyobaki ikaiteketeza? Maana hao wafanyabiashara hawakuipata bure walinunua..Na serikali ilipata kodi yake.Haikua pombe haramu kama gongo, ilikuwa halali iliyoruhusiwa na mamlaka za serikali kuzalishwa na kusambazwa.Nadhani ingekuwa busara serikali kubeba hii hasara
serikali inafikiria kuharibu tu kwa wananchi ila ingebeba huo msala nadhani wangeona machungu ya hasara..!
 
Mch. Lusekelo si anaanza kuuza gongo haina shida... Waandishi wa habari wamegoma kufa
 
Kuna jamaa nimekutana nae dukani anaulizia viroba,anaongea kama anaulizia bangi
 
Back
Top Bottom