Ikiwa kubana matumizi ni kufuta posho kwa watumishi wa umma, futeni na posho za askari

Hata mm naweza kuwa askari,tena kwa elimu yangu ya uzamili ktk mambo ya rasilimali watu,naweza kuwa polisi rank ya juu,hivyo wasijione wanafanya kazu kubwa,kuliko walimu na madaktari,posho ziondolewe kwa wote km sivyo walimu na madaktari nao wapewe.
 
Kuna usemi unasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hii kauli ya Mh Waziri mkuu kutaka kusiwepo na posho zozote kwa watumishi wa umma, je vipi kuhusu posho wanazopewa askari wetu wa majeshi nazo zimefutwa ikiwa hapana kwa kigezo kipi kilichotumika ikiwa wote ni watumishi iweje huyu awe na posho huyu anyimwe

Ikiwa suala la kufuta posho basi hilo suala liwe kwa wote isionekane kitu kina itwa posho kwa wafanyakazi wote ijukane moja

Tena wale wengine ndio balaa makambini uko nyumba zipo wazi kibao zina umeme mpaka maji lakini hawakai wapo mitiani wanalipwa posho ya pango la nyumba ikiwa nyumba zao zipo na hazina watu

Ikiwa ni kubana matumizi basi hizo posho zifuatwe vile vile posho ya hao watu ya kodi ya nyumba kila mwezi ifutwe waende kukaa makambini kwao kwani kambini nyumba zipo lakini hazikaliwi
Hujazuiwa kuwa askari wala hujalazimishwa kufanya kazi isiyo na posho. Wakati mnapata vijiposho mliwaona askari mafala ila mmebanwa kidogo tu mnawaona wanafaidi.
 
Hata mm naweza kuwa askari,tena kwa elimu yangu ya uzamili ktk mambo ya rasilimali watu,naweza kuwa polisi rank ya juu,hivyo wasijione wanafanya kazu kubwa,kuliko walimu na madaktari,posho ziondolewe kwa wote km sivyo walimu na madaktari nao wapewe.
Hujazuiwa kuwa askari, nenda kajiunge na chama la posho,
 
Back
Top Bottom