Ikiwa kubana matumizi ni kufuta posho kwa watumishi wa umma, futeni na posho za askari

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,000
2,000
Kuna usemi unasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hii kauli ya Mh Waziri mkuu kutaka kusiwepo na posho zozote kwa watumishi wa umma, je vipi kuhusu posho wanazopewa askari wetu wa majeshi nazo zimefutwa ikiwa hapana kwa kigezo kipi kilichotumika ikiwa wote ni watumishi iweje huyu awe na posho huyu anyimwe

Ikiwa suala la kufuta posho basi hilo suala liwe kwa wote isionekane kitu kina itwa posho kwa wafanyakazi wote ijukane moja

Tena wale wengine ndio balaa makambini uko nyumba zipo wazi kibao zina umeme mpaka maji lakini hawakai wapo mitiani wanalipwa posho ya pango la nyumba ikiwa nyumba zao zipo na hazina watu

Ikiwa ni kubana matumizi basi hizo posho zifuatwe vile vile posho ya hao watu ya kodi ya nyumba kila mwezi ifutwe waende kukaa makambini kwao kwani kambini nyumba zipo lakini hazikaliwi
 
Simbamteme

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
511
1,000

Wewe ni mmoja wa wahanga nini?
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,692

Posho za askari zipo kisheria...
Posho zilizo futwa ni ambazo haziko kisheria na kitaratibu.
 
Nathason2

JF-Expert Member
May 20, 2015
601
1,000
Kama serikali ina lengo thabiti la kubana matumizi ya serikali Basi Ianze kuondoa kitu kinachoitwa stahili za viongozi maana hicho kinakula fedha nyingi zaidi kuliko posho hizo zinazosemwa kwa juujuu wakiondoa hicho kitu hapo kweli serikali itakuwa imedhamiria kubana matumizi na watakuwa wazalendo haswa kwa kuwa hiki kitu kinahusu maslahi ya viongozi wote wa umma
Hiwezekani tukulipe mshahara mnono,tukulipie maji,nyumba,umeme simu,tukununulie samani za ndani,tukupe gari ya kukupeleka na kukurudisha kazini,tukulipie walinzi wakulinde nyumbani kwako jamani magufuli hii yote ni burden kwa watanzania wewe wape hiyo mishahahara minono usafiri na ulinzi basi mengine wayafanye kwa mishahara yao maana hata watumishi wa chini wenye vimishahara mikia ya mbuzi wanatumia mishahara yao kufanya mambo hayo.
 
kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
5,771
2,000
Kwa ukata huu lazima watumishi wawe wezi tu,acha wawatengebezee mazingira ya watumishi kuiba
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
34,787
2,000
Kama serikali ina lengo thabiti la kubana matumizi ya serikali Basi Ianze kuondoa kitu kinachoitwa stahili za viongozi maana hicho kinakula fedha nyingi zaidi kuliko posho hizo zinazosemwa kwa juujuu wakiondoa hicho kitu hapo kweli serikali itakuwa imedhamiria kubana matumizi na watakuwa wazalendo haswa kwa kuwa hiki kitu kinahusu maslahi ya viongozi wote wa umma
Hiwezekani tukulipe mshahara mnono,tukulipie maji,nyumba,umeme simu,tukununulie samani za ndani,tukupe gari ya kukupeleka na kukurudisha kazini,tukulipie walinzi wakulinde nyumbani kwako jamani magufuli hii yote ni burden kwa watanzania wewe wape hiyo mishahahara minono usafiri na ulinzi basi mengine wayafanye kwa mishahara yao maana hata watumishi wa chini wenye vimishahara mikia ya mbuzi wanatumia mishahara yao kufanya mambo hayo.
Mkuu unaongea ukiwa Tz au Ulaya?
 
comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,315
2,000
Kuna usemi unasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni hii kauli ya Mh Waziri mkuu kutaka kusiwepo na posho zozote kwa watumishi wa umma, je vipi kuhusu posho wanazopewa askari wetu wa majeshi nazo zimefutwa
ikiwa hapana kwa kigezo kipi kilichotumika ikiwa wote ni watumishi iweje huyu awe na posho huyu anyimwe

Ikiwa suala la kufuta posho basi
hilo suala liwe kwa wote isionekane kitu kina itwa posho kwa wafanyakazi wote ijukane moja Tena wale wengine ndio balaa
makambini uko nyumba zipo wazi kibao zina umeme mpaka maji lakini hawakai wapo mitiani wanalipwa posho ya pango la nyumba ikiwa nyumba zao zipo na hazina watu

Ikiwa ni kubana matumizi basi hizo posho zifuatwe vile vile posho ya hao watu ya kodi ya nyumba kila mwezi ifutwe waende kukaa makambini kwao kwani kambini nyumba zipo
lakini hazikaliwi
Ww jamaa aaah
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom