Ikiwa hujakutana na hali ya kukosa amani moyoni inayo sababishwa na mwenza wako basi shukuru MUNGU

Sijasema sina hisia ila haziniendeshe. Mimi ndio naziendesha. So huwezi kunikuta nalia lia kama wewe hapa.

Jaribu kujifunza kutawala hisia zako sio hisia zikutawale.
Ni vyema ukasema kuliko kuugulia kwa ndani ni mbaya, Mara nyingi hitimisho la maumivu ni uamuzi mbaya
 
Wacha nicheke tu mkuu sikupi pole maana wakati naumia mimi hakuna alienipaga pole! Nilikuwa naumia mwenyewe.. kauli yangu ni moja tu mkuu pambana.
Alooo haya mambo wengi wanayo ila hujifanya wanayaweza kumbe afya zao za akili sinazidi kuadhirika.
 
Yes ni kweli lakini hiyo na kwa watu wadhaifu. Sio kwa kila mtu.
Somesha umpenda kwa gharama kubwa, uza Mali unayo tegemea, gombana na familia yako mama na baba, kajifeheheshe mbele ya kadamnasi,. Kwa hahadi ya kuungana kimwili kwenye majumba ya ibada halafu usalitiwe utaona hicho ulicho sema (udhaifu) kinamaana ipi.
 
Udhaifu mkubwa ndio huo wa kuanza kufanya mambo yote hayo. Wakati unayafanya yote hayo ulitawaliwa na emotions (hisia na mihemko) akili ilikuwa likizo.

Sasa yakutokea yametokea akili imerudi ndio unaanza kujuta na kulia. Ndio maana nilikuambia usikubali hisia zikutawale, tumia akili zaidi kuliko hisia. Mtu mdhaifu ndio huendekeza hisia badala ya akili. Matokeo yake ndio kulizwa na mapenzi kila siku.
 
Najua hukunielewa, hiyo no mifano michache inayo weza sababisha ubumbuwazi. Kupenda hakuji Kama mtu anae tembea na vyeti vya masomo kwenye kutafuta kazi mapenzi hutokea ndani ya nafsi elewa Hilo roho hutenda baada ya nafsi kuridhia sasa unawezaje kutoa uamuzi ambao ni wazi hauwezekani. kutoa Mali kusomesha kukosana na marafiki hata ndugu kwako ni Jambo dogo.
 
Mkuu point yangu ni kuwa. Ukiendeshwa na hisia lazima utaendelea kulia tu na hata kufa kisa mapenzi.

Weka akili mbele. Kama hutaki mimi sina msaada na wewe. Pambania kombe lako jombaa.
 
Back
Top Bottom