Wataalam wetu wa uchumi, kwa sasa kodi inayokusanywa ni trillion 1 average. Lakini kwa hali ilivyo na inavyoonyesha kuna kila dalili kwamba inaweza kushuka mpaka billion 600. Swali langu ni je? Ikiwa bajeti ya serikali ni trillion 29. Na makusanyo yote ni trillion 10 tu, ni nini kitatokea? I mean. Nchi itakuwaje?.
Please. Naomba majibu ya kitaalamu na siyo ya kisiasa.na Kama unajua wewe ni wale jua likisogea na wao wanasogea, hili swali halikuhusu.
Please. Naomba majibu ya kitaalamu na siyo ya kisiasa.na Kama unajua wewe ni wale jua likisogea na wao wanasogea, hili swali halikuhusu.