Ikitokea Umeshika 500M utaifanyia nini.??


Hagai 1:6:
"Mmepanda mbegu nyingi mkavuna kidogo; mnakula lakini hamshibi... na yeye apataye mshahara apata mshahara ili kuutia katika mfuko uliotoboka-toboka."

Mithali 11:24:
"Kuna atawanyaye, lakini huongezewa zaidi; Kuna azuiaye isivyo haki, lakini huelekea uhitaji."

Pesa ikiwa na baraka na ulinzi WA Mungu haipotei,ukitoa sehemu ya 10% kwa Mungu,myataima,wahitaji,watu WA nyumbani kwako,wagonjwa..hauopotezi ila unavuna baraka na haitapotea..

NAONA HATA WAGANGA WA KIENYEJI siku hizi wanashauri wateja wao WATOE SADAKA KWA MASIKINI,wagonjwa,walemavu,mayatima..KUNA SIRI YA BARAKA KATIKA KUTOA KUSAIDIA WAHITAJI.

Pesa ni ya kiroho,bila ulinzi WA kiroho itapotea kama upepo hutajua imeenda wapi umetumiaje ?

ANZA KWANZA KUMJALI WATU WA NYUMBANI KWAKO KABLA YA MALAYA(Malaya Hana shukrani Hana HURUMA na WEWE)
1 Timotheo 5:8.
: "Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini".

ujifunze KWA yule KIJANA aliyeshinda MILIONI 500 kule south afrika ,akazichezea zote na wasichana(MAC MUGA)
 
Naenda zangu kujichimbia pale Qebeq ,Canada nafanya course from scratch kuanzia PPl,Cpl, Hadi ATpl halafu namalizia na Instrument rating ya either A350 au B787. Af kisha naenda kutega kwa Sir Tim Clark kama ata I consider CV yangu then nipewe chuma
 
Kwa hili akili yako utakuwa na hazina binguni ila duniani utakuwa maskini
 
Pesa Haina maskini Wala tajiri mkuu ila anyway itakuwa ni jambo jema kutoa Kwa moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…