Ikitokea pinda kupigwa chini what next?

Ikitokea pinda kupigwa chini what next?

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,249
Huwa najiuliza ivi Pinda akipigwa chini does that mean baraza la mawaziri lote limepigwa chini au wao wanaendelea na majukumu?
Msaada wa interpretation pls
 
Kisheria ni kwamba waziri Mkuu akipigwa chini it means baraza lote la mwaziri linaanguka, hakuna mawaziri bila PM.
 
Waziri mkuu ajae '2mpendekeze awae STEVEN NGONYANI coz Tanga haijawahi toa PM
 
tujiulize pia ikitokea hvyo nani anastahili kuwa waziri mkuu ndani ya ccm?
 
Naona anayefaa kuwa wazir mkuu ni maguful pekee kwa ccm, wengne wez mtupu!
 
Our next PM nadhani awe Mwanzri au Magufuri
 
Magufuli na mwanri? Ina maana nchi yenye watu 40+ m hakuna wenye kufaa bali ni Magufuli na Mwanri?
 
kwa katiba ya sasa, hivi inawezekana pm akatoka chama kingine, kama ndio... basi kwangu mr. lyatonga anafaa kuwa pm
 
kwa mtazamo wangu naona kama haitawezekana kumuondoa sasa.....i hope walioanzisha mchakato huu wana plan B,isijekuwa kama issue ya madaktari na waziri wa afya.......then.......
 
Back
Top Bottom