Annuity
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 338
- 198
Maalim Sief kajitoa sasa ikatokea kura zikapigwa na Jecha bila hiyana akatangaza kuwa Maalim Seif ndio mshindi katika uchaguzi wa marudio nini kitatokea kwa mujibu wa sheria? Inaweza kutumika hiyo na kutokana mshindi kajitoa basi uchaguzi ukarudiwa tena kwa mara ya 3 na akapatika mshindi mnayedhani ndio anasubiri kupitishwa na hoja zote za kudhulimiwa zikajifunga.