Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,101
- 128,716
Wana MMU,
Salaam.
Nina swali, inapotokea wewe unapenda macho, halafu kukatokea kuna kiongozi fulani mwanamke ana jicho hilo!, wewe unapenda jicho, ukimuona huyo mwenye jicho, unafurahi na huchoki kumwangalia.
Je, kuna ubaya wowote ukimsifia huyo kiongozi mwenye hilo jicho kuwa "MashAllah Mungu amekujaalia jicho" au itaonekana huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu, heshima na ustaarabu?.
Paskali.