KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,678
- 8,864
Siasa siku zote ni mchezo mchafu kama wahenga wasemavyo sasa mimi ninauliza hivi ikitukea hawa wakawa viongozi wako utatarajia nini??Katika serikali ijayo??
- RA-Waziri wa Fedha mipango na Uchumi!
- EL-Waziri Mkuu
- YManji-Waziri waviwanda na Bashara
- Y.Makamba-Waziri wa habari
- A.Kinana-Waziri wa ulinzi
- Shimbo-Waziri wa Mambo ya ndani
- L.masha waziri wa mambo ya nje!eep:
- Hii team inaweza kuliongoza Taifa letu??kwa speaker tuliyenaye??