mpepai
JF-Expert Member
- Nov 19, 2012
- 559
- 374
akiongee mbowe watamuelewa tu
makamanda bana
kweli kabisaMpiga lamri chonganishi
akiongee mbowe watamuelewa tu
makamanda bana
kweli kabisaMpiga lamri chonganishi
Demokrasia wanaielewa ndiyomaana walipiga kura kutimiza wajibu wao wa kidemokrasia.Hayo maandamano yamekosa mwitikio mzuri kwa wananchi hasa wale wa maisha ya chini, wengi wao hawaelewi maana ya democrasia.
Kesho Mbowe anaahirisha UKUTA na habari zitaletwa hapa na Mwanahabari Huru kwa mbwembwe kubwa.Ikitokea hivyo akina Ben Saanane, Yericko Nyerere, Chakaza, Salary Slip na Mwanahabari Huru watatokea na kumuunga mkono kamanda Mbowe na kusema Mbowe ndie jemedari wa kubadili gea angani.
Kukifanyika maandamano maeneo hayo tu nchi inaanguka Misri ilikuwa cairo na alexadria na utawala ukaanguka so usidharauSehemu ambazo ambazo ukawa wana nguvu ni dar-es-salaam, mbeya, arusha na kilimanjaro.... Lakini huku kwingine kulikobakia hakuna mtu mwenye habari nao....
Mtwara ndo kabisa, hawawezi kujaribu....
Mimi kama mwananchi wa kawaida sioni udikteta wa Magufuli zaidi zaidi naomba azidishe ukali kidogo ili mafisadi yaendelee kulia lia.. Sasa nikaandamane ili nipate nini cha kunisaidia kwenye maisha yangu zaidi ya ushabiki wa kipuuzi tu huko.Kwani UKUTA wa chadema au wa Watanzania wote? Nchi hii yetu sote madhila hawayapati Chadema tu. Kususia au kukosa kuhudhuria maadamano ya UKUTA ni sawa na kuisaliti Tanzania yetu. September 1 UKUTA upo palepale
Itaelezwa kuwa Chadema imepata taarifa ya kiinteligensia ya kilichopangwa kufanywa na jeshi la Polisi siku hivyo, hivyo baada ya kukijua, ni kichaa tuu ndio angeendelea kuwashawishi watu waandamane!.
kwa nini ahirishe UKUTA pale pale kuanzia 1st September none stop na tarahe moja tunamsindikiza polisi kwa wingi wetuKesho Mbowe anaahirisha UKUTA na habari zitaletwa hapa na Mwanahabari Huru kwa mbwembwe kubwa.
We unataka wafanyeje? waombe kibali wakati polisi wamekataza shuguli za siasa, mikutano na maandamano ya amani? Unavyofikiri wewe chadema waende mahakamani kutafuta haki hiyo wakati ccm wanayo free of chaqge. Una uhakika mahakama itaenda tofauti na ccm na rais wao wanavyotaka?
Wanabodi,
Leo ndio siku ya mwisho kwa Chadema kutuma maombi rasmi ya kufanya maandamano na mikutano nchi nzima kuhamasisha UKUTA, wakati tukisubiri taarifa rasmi ya Chadema kuhusu maandalizi ya mwisho, ambapo jeshi la polisi litatangaza rasmi kama limeombwa vibali na kama limekubali au kukataa, Chadema nao kuna taarifa muhimu inatolewa kesho.
Jee ikitokea Chadema wakaitisha Press Conference ya kusitisha maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima. Jee watakuja na sababu gani? !, na jee wataeleweka? !.
Hili likitokea, zitatolewa sababu za msingi sana ikiwemo mkutano wa Eddo na Magufuli, Mkutano wa Msajili, vitisho vya polisi, na hoja kubwa zaidi ni Chadema kuuthibitishia umma kuwa sio chama cha shari, fujo, vurugu bali ni chama cha heri, kinachohubiri upendo, amani na utulivu ikiwemo utii wa sheria bila shuruti na pia kinathamini uhai na uhuru wa watu wake kuliko kitu kingine chochote!.
Itaelezwa kuwa Chadema imepata taarifa ya kiinteligensia ya kilichopangwa kufanywa na jeshi la Polisi siku hivyo, hivyo baada ya kukijua, ni kichaa tuu ndio angeendelea kuwashawishi watu waandamane!.
Hizi harassment za jeshi la polisi kwa viongozi wa Chadema ndio dalili ya awali ya kilichopangwa, hivyo kwa kuwapenda zaidi Watanzania na kutanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo wameamua kuyaahirisha kwa muda maandamano hayo na kutoa nafasi kwa meza ya mazungumzo! .
Jee utakubali maandamano yasitishwe kwa sababu zozote zile? !.
Pasco