Ikithibitishwa Manji sio raia naishitaki serikali na CCM

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wadau naomba mjiandae kuniunga mkono adhima yangu ya kuishtaki Serikali Kwa kuruhusu Yusuf Manji kuishi nchini miaka yote , kumiliki Ardhi, kufanya biashara Na serikali kushiriki chaguzi mbalimbali , Kuwa diwani wa CCM , Na kuongoza Klabu ya Yanga wakati akiwa sio RAIA.
 
Tumia akili, pengine alienda UK na kupewa Uraia mwaka jana mwishoni au January mwaka huu, then akakana wakwake, haya utaishtaki Serikali kwa kosa gani? ACHA KUKURUPUKA.
 
Ukitaka kujua maajabu ya nchi hii,ingia insatgram kwa Mange Kimambi uone tuhuma nzito dhidi ya Bashite huku akiweka na supporting document ndio utachoka.

Sielewi kwanini Bashite haguswi ila kina Manji ndio wanakuwa victim.
Supporting document ya nini? Kwani bado hajapata matokeo ya bashite? C alisema Ana vyeti
 
Wadau naomba mjiandae kuniunga mkono adhima yangu ya kuishtaki Serikali Kwa kuruhusu Yusuf Manji kuishi nchini miaka yote , kumiliki Ardhi, kufanya biashara Na serikali kushiriki chaguzi mbalimbali , Kuwa diwani wa CCM , Na kuongoza Klabu ya Yanga wakati akiwa sio RAIA.
ndoto bhanaaa unasinziaa mchana
 
mi ningekushauri ungeliishtaki kama hawana uthibitisho,ili huu mchezo wa kutangaza yasio kweli waache
 
Ukitaka kujua maajabu ya nchi hii,ingia insatgram kwa Mange Kimambi uone tuhuma nzito dhidi ya Bashite huku akiweka na supporting document ndio utachoka.

Sielewi kwanini Bashite haguswi ila kina Manji ndio wanakuwa victim.

Ya Bashite si hoja sana, jiulize....wewe kama mtanzania ukijaribu kwenda kuishi India ama nchi nyingine duniani kwa ubabaishaji wa Manji, utachekewa? Ila hapa kwetu raia haramu anapewa wadhifa wa udiwani na kuwakilisha chama pia.
 
Okay, thanks.... Ila huo ndio ukweli mchungu ambao mtu akijiona mjing hana budi kujibu hivyo. Serikali ina watu timamu sana tu, hawawezi fanya makosa issue open kama hizi halafu wewe ukawa smart.
serikali ipi yenye watu smart? labda kama umezaliwa leo.Hivi unajua Makonda ana vyeti fake na serikali hii imekaa kimya hawachukui hatua? hivi unajua Magufuli avevunja Katiba kwa kutugawa watanzania kutokana na vyama badala ya kutuunganisha? Katiba haina mtu anaitwa kaimu Jaji mkuu , unajua ? serikali makini ingeruhusu Rais kutumia fedha bila idhini ya Bunge?
 
Ya Bashite si hoja sana, jiulize....wewe kama mtanzania ukijaribu kwenda kuishi India ama nchi nyingine duniani kwa ubabaishaji wa Manji, utachekewa? Ila haa kwetu raia haramu anapewa wadhifa wa udiwani na kuwakilisha chama pia.
Utashangaa wakienda Mahakamani Manji anawashida.
 
Back
Top Bottom