Ikithibitishwa Manji sio raia naishitaki serikali na CCM

Ikithibitishwa Manji sio raia naishitaki serikali na CCM

Ukitaka kujua maajabu ya nchi hii,ingia insatgram kwa Mange Kimambi uone tuhuma nzito dhidi ya Bashite huku akiweka na supporting document ndio utachoka.

Sielewi kwanini Bashite haguswi ila kina Manji ndio wanakuwa victim.
Manji na bashite Wote ni waharifu wanapaswa kuwa nyuma ya nondo.....


Tunajua wahindi wengi wanamiliki passport zaidi ya moja... Apelekwe mahakamani haki itendeke japo sioni akichomoka kwa hii kesi


Bashite ndio kabisaaaaaaaaaa
 
Tumia akili, pengine alienda UK na kupewa Uraia mwaka jana mwishoni au January mwaka huu, then akakana wakwake, haya utaishtaki Serikali kwa kosa gani? ACHA KUKURUPUKA.
Pengine, unahisi? Kwa nini jamii yote ya wana ccm mnafikiri kwa kutumia round (0)
 
Hakuna tofauti ya Manji Na Bashite wote chama kimoja Leo unampa udiwani asie raia
 
Pengine, unahisi? Kwa nini jamii yote ya wana ccm mnafikiri kwa kutumia round (0)

I hate CCM with all the energy & Positivity I can collect, I think I may be smarter than you, mimi sio police, sio uhamiaji, most of the things utaona nasema nahisi, why? sina kitu tangible mkononi nikiambiwa nithibitishe. Wewe utakuwa kama TBC na habari ya Trump.
 
serikali ipi yenye watu smart? labda kama umezaliwa leo.Hivi unajua Makonda ana vyeti fake na serikali hii imekaa kimya hawachukui hatua? hivi unajua Magufuli avevunja Katiba kwa kutugawa watanzania kutokana na vyama badala ya kutuunganisha? Katiba haina mtu anaitwa kaimu Jaji mkuu , unajua ? serikali makini ingeruhusu Rais kutumia fedha bila idhini ya Bunge?


Imekaa kimya, ndio, sio kwamba hawajui ukweli, wanaujua. Kuchukua hatua ni utashi. Wote walio chini ya rais kunyamaza na kuwa kimya actually yaweza kuwa ni hekima. Ila wao kukaa kimya hakuwafanyi wasiwe smart na kuujua ukweli, hapana hata kidogo. They can be smart weighing their options!
 
Ukitaka kujua maajabu ya nchi hii,ingia insatgram kwa Mange Kimambi uone tuhuma nzito dhidi ya Bashite huku akiweka na supporting document ndio utachoka.

Sielewi kwanini Bashite haguswi ila kina Manji ndio wanakuwa victim.
Huyu Mange naona sasa amekuwa Julian Assange wa Wiki leaks.
 
Huyu Mange naona sasa amekuwa Julian Assange wa Wiki leaks.


Kutakuwa kuna mtu ndani ya serikali/chama anampa dataz kuchafua watu. Na huyo mtu huenda ndiye anayemsugua kiana akiwa hapa Bongo. Usishangae sana, kwa hapa Tanzania hakuna kitu kinachoshindikana, kila kitu hapa Bongo ni dili tu.
 
Ukitaka kujua maajabu ya nchi hii,ingia insatgram kwa Mange Kimambi uone tuhuma nzito dhidi ya Bashite huku akiweka na supporting document ndio utachoka.

Sielewi kwanini Bashite haguswi ila kina Manji ndio wanakuwa victim.
Na kujua kuwa na ww akili ndogo ni kuamini kila kitu anchopost mange.
 
Supporting document ya nini? Kwani bado hajapata matokeo ya bashite? C alisema Ana vyeti
Matokeo gani tena wakati yanajulikana alipata zero form form, huko primary alishindwa kila mtihani huko chuo cha ushirika ikabidi marehemu Sitta ajivunjie heshima ili kumnusuru Bashite! Unadhani kuna siri? Tuliishawaambia awali hapa, kwamba kutokana na laana ya mapito ya kipenzi chenu kuna siku atafanya mambo yatakayoivua nguo serikali; picha ndio linaanza!
 
Back
Top Bottom