IT wa ufipa hamna akili kabisa, kama mnataka kummaliza bashite (kusudi mshike dola!) Mngemuomba mshenga (gwajima) akupatieni kopi za vyeti maana alitutangazia anavyo then mtuletee hapa na kusambaza kwingine kuthibitisha utapeli wakeWewe ingia huko ujionee na hii wala sio habari ya vyeti bali ni tuhuma mpya kabisa.