ikisimama panda

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,385
7,295
mtoto alikua amelala chumbani kwake, ghafla akakurupushwa na sauti za migongano na miguno zilizokua zinatokea chumbani kwa wazazi wake, kwa mbali akasikia sauti ya baba yake inasema "ikisimama panda" mtoto alilala na maswali mengi sana kichani then asubuhi wakiwa wamekaa meazani wanakunywa chai akamuuliza baba yake

mtoto:dad is there any daladala inside your room?
baba:not at all, why are you asking?
mtoto:last night i heard you told mumy ikisimama panda
baba na mama:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Uswahilini noma chumba ki1 familia nzima bac ukilala watoto wapo macho kusikiliza dah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom