Ikikutokea wewe utafanyaje???

The importance of reconciliation in a situation like this differs from one person to another.

Last edited by a moderator:
Hivi inawezekana vipi ukampenda mtu ambaye hujawahi muona!!!!
Kama unaweza kukaa na kupata hamu kubwa ya kufanya mapenzi wakati hauna mpenzi wa kukata kiu hiyo kwa nini usimpende mtu ambayo tayari kaishaonyesha utayari wa kukata kitu ya namna hiyohiyo.
 
^^
Kwa sababu haijanitokea,,ngoja nisitamke nikaumba neno la kunigharimu baadae
^^

ngoja namimi niwe kimya kama wewe maana naweza sema ndivyo sivyo... Mapenzi ya mtandaoni majanga matupu
 
ngoja namimi niwe kimya kama wewe maana naweza sema ndivyo sivyo... Mapenzi ya mtandaoni majanga matupu
Kila la kheri.inabidi kufanya utafiti wa namna ya kutambua kama your e-lover ni mmoja wa your ex.
 
ikitokea hivyo ujue basi kuna strong bond kati yenu na bado mnapendana, hata muende wapi mtakutana tu!
haya ni maneno hata kwenye kanga yapo!na hii ndio inawauwa wanawake wengi eti strong bond my ass .
 
Hapo inakua sawa na kitabu kimevishwa protecting cover kuanza kukufungua kwenye dibaji tu unajua kua ulikwisha kisoma chote!! Kuendelea kukisoma hauta gundua kitu kipya!!
 
Ikinitokea ndipo nitajua la kufanya. Kwasasa sina jibu sahihi.
 
Hapo inakua sawa na kitabu kimevishwa protecting cover kuanza kukufungua kwenye dibaji tu unajua kua ulikwisha kisoma chote!! Kuendelea kukisoma hauta gundua kitu kipya!!

Kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…