Ikikutokea wewe, utafanyaje?

Ikikutokea wewe, utafanyaje?

Ukiacha mke au mwanamke usimuingilie tena katika maisha ya wake kama mumezaa angalia watoto tu wawe salama sio yeye
 
Ni sheria ya nchi gani hiyo inayoruhusu mke ambaye ni mama wa nyumbani kugawiwa mali ikiwa ni yeye aliyevunja ndoa kwa kukosa uaminifu??
 
Hii inaonesha unaishi nchi za wazungu wewe lakini kama upo uswahilini mfanye huyo jamaa awe rafiki yako. Mchukuwe bar mkanywe bia akienda chooni muwekee dawa halafu mgegede nae ashakuwa mke wa pili. Kwahio hautakuwa na machungu kutumia mali yako. Over[emoji12]

AKILI ZA KUAMBIWA ACHANGANYE NA ZAKE SIO KILA USHAURI AUCHUKUE BILA KUUFANYIA EDITING
 
Mali mnagawanaje wakati bado nyumba na gari inamkopo wa bank mbona kama umechanganya mambo au ndio hasira?
 
Hadithi za uongo utazijua tu,huwa hazipangiki.
 
Back
Top Bottom