ikifika,imefika; ujanja huna

ikifika,imefika; ujanja huna

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Jamaa katembelewa na kifo mambo yalikuwa hv; kifo:leo ni zamu yako nimekuja kukuchukua, si unaona kwenye list jina lako ni la kwanza? jamaa: sw basi karibu chakula ule ulale asbh ndo unichukue! kifo akapiga msosi wa nguvu na kulala! jamaa kuona kifo kalala akafuta jina lake lililokua juu na kuliandika mwisho kbs! asbh kifo alipoamka mambo yakawa hivi; kifo: nashukuru kwa ukarimu wako ulionionyesha jana, sasa sitakuchukua ntaanza na jina la mwisho kabisa............kilichoendelea cjui!!
 
Balaaaaaa! kifo NOooma kweli,,,,,, tunatembea nacho wakuu!!!!!
 
Io kal.....yaaan kifo anatisha kwa machale ila kumbe UA ANAPOKEA TAKRIMA/RUSHWA????
 
Loh hii kal.....yaaan kifo anatisha kwa machale ila kumbe UA ANAPOKEA TAKRIMA/RUSHWAH????? Ruswah anapokea vzr na kusepa unasepa vile,vile!
 
Yani bora angeweka jina lake katikati hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyo jamaa kaona kaweza kweli!!!! yamemkuta!!!
 
Duuh kudedi noma watu wangekuwa wanahonga kila kiwezekanacho waishi 4ever young!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom