Ikatokea sensa ya wanaume malaya utakua wangapi!

Ikatokea sensa ya wanaume malaya utakua wangapi!

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,671
Reaction score
943
Katika .com yetu hii watanzania tumetokea kujichanganya katika mahusiano tena zaidi ya mtu mmoja hebu tuwamulike wanaume wote walio ndani ya ndoa na wasio kuwepo ndani ya ndoa mnajihadhari vipi na magonjwa kwa kujichanganya na wake za watu, watoto wa shule, mabeki tatu, wabibi, majimama na machangu... Onyo: kama hujui umalaya kaa kimya!
 
Nashukuru sana wadau na imebainika hakuna watu wa aina hii hapa kwetu ila kumbukeni mficha uchi hazai!
 
Katika .com yetu hii watanzania tumetokea kujichanganya katika mahusiano tena zaidi ya mtu mmoja hebu tuwamulike wanaume wote walio ndani ya ndoa na wasio kuwepo ndani ya ndoa mnajihadhari vipi na magonjwa kwa kujichanganya na wake za watu, watoto wa shule, mabeki tatu, wabibi, majimama na machangu... Onyo: kama hujui umalaya kaa kimya!

Mkuu itakuwa ngumu sana watu kutiririka kwenye hii thread. Sababu ni pamoja na kutokuwa na sifa muhimu ya utafiti (upimikaji na urahisi) ingekuwa vema ukaambatanisha dodoso ambalo lingemtaka kila msomaji ajibu maswali marahisi kwamba alishatoka nje ya ndoa mara ngapi? Yeye ana umri gani, alioa lini. Mke wake ana umri gani na ana umbo gani, ajibu pia kwamba anapenda mademu wa umri gani na shape gani? Nk kufuatia majibu yao hapa ndo ungeweza kuconclude kwamba wanaume wangapi ni malaya na kwa miasi gani. Nawasilisha.
 
Kwa taarifa tu nikuwa hakuna mwanaume malaya.wanaume waliokamilika wanatakiwa wagawe dozi kwa hao.....
 
Mkuu Umalaya ni siri ya mtu, labda umgundue kutokana na udhaifu wake, pengine unataka kujua mko wangapi Humu?.

Body without head
 
ivi kuna kitu kitamu kama kugegedana kweli....?
 
Back
Top Bottom